

Mchungaji mtarajiwa Masanja Mkandamizaji akiwasalimu wakazi wa Iringa na vitongoji vyake kama inavyoonekana hapa,huku bila akitia vionjo vya kabila la kingoni na kihehe.

Masanja Makadamizaji kama anavyoonekana katika katika picha;Gwaride linaoneka lina sura ya Enoce Lazaro kushoto na katikati yuko Silas Mbise pia kulia yuko unknown.

Masanja Mkandamizaji na kundi lake akionyesha namna gani gwaride linakuwa

Masanja Mkandamizaji na kundi lake akionyesha namna gani gwaride linakuwa


Kiongozi wa Bongo Movie Steven Jacob(JB) anachukua DVD ya Albamu ya Hakuna Jipya.

Baadhi ya viongozi wa Elimu wakiwa na mgeni Rasmi
Timu nzima ya wakali wa Bongo Movie wakionyesha uwepo wao katika tamasha hili la uzinduzi wa albamu ya HAKUNA JIPYA.
JB wa Bongo Movie akiwa ameshika kipaza sauti pamoja na waigizaji wenzake
Steve Nyerere akitambulisha wakazi wa Iringa kikundi cha Bongo Movie
Mwanzo mwisho ilikuwa comedi hapa mchungaji mtarajiwa Emmanuel Mgaya akisoma risala.

Watu mbalimbali wakifuatilia kwa karibu uzinduzi wa tamasha hili.

Martha Baraka akimsindikiza na wimbo JINA LA YESU NI DAWA,mwimbaji toka DAR ES SALAAM.


Mwimbaji wa nyimbo za injili Martha Mwaipaja.

Watu waliohudhuria tamasha hilo uwanja wa Samora mjini Iringa wakati wa tamasha la uzinduzi.

Umati mkubwa ulijitokeza katika kiwanja hiki.

Tazama namna gani watu wa Iringa wakimsapoti mchungaji mtarajiwa.


.
Kwa kweli ilikuwa si mchezo kwa kweli maana Mungu alitukuzwa kwa kiwango cha tofauti.
mpaka hapa,pamojakwaumoja2012.blogspot.com haina la ziada nikutakie kila lakheri wewe ambaye umetembelea blog hii.
Rafiki bado nakuombea kwa Mungu.
pamoja kwa umoja.

No comments:
Post a Comment