LEO NDANI YA MLIMA WA MOTO NA MATUKIO YALIYOJILI NA KIASI GANI WATU WAMEMUONA MUNGU KATIKA KIWANGO CHA TOFAUTI:::

Mchungaji kiongozi Dr Getrude Pangalile Rwakatare


Mchungaji kiongozi Dr Getrude Pangalile Rwakatare
Mtumishi wa Mungu Mchungaji/mwinjilisti Sebastiani Kimario akimfanyia maombi mzee aliyekuwepo katika ibada kanisani mlima wa moto
Mama aliyejitokeza kufanyiwa maombi na mtumishi wa Mungu toka mlima wa moto baada ya ibada
Mtumishi wa Mungu toka mlima wa moto akimfanyia maombi mmoja kati waliojitokeza kuombewa ndani ya hema la bwana
Maombi yakiendelea ya mtu mmojam moja kama inavyoonekana katika picha

Kijana alijitokeza kufanyiwa maombi kama ambavyo anavyoonekana katika picha
Dada akipatwa na nguvu yake Munguhadi kudondoka chini wakati huo huo mtumishi akiendelea kumwombea ili kama kuna nguvu zozote giza zimwachie mwana wa Mungu
Mtumishi wa Mungu akiendele na maombi kwa watu waliojitokeza katika hema la bwana mlima wa moto
Katika ibada ya leo Mungu ameonekana kwa watu wengi sana kufunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali katika maisha yao.Toka mwanzo wa ibada walivyokuwa waikiingia walikuwa ni watu wenye kuoneka kupoteza matumaini na kuamini kuwa haiwezeka tena kwao kufanikiwa tena mahitaji yao,yanayo wakabili kila siku katika maisha yao,lakini kila saa na dakika mabadiliko yalipoanza kutokea kukaanza kuonekana kuwa wanapokea vitu toka kwa Mungu.BAADA YA MAOMBI KUFANYIKA WATU WENGI WALIONEKANA KUBADILIKA SURA ZAO.Hakika siku ya leo kwa waliompa yesu maisha yao watakuwa wa shuhuda nyingi na ni nzuri kwa maana matendo makuu yameonekana.
Mpaka hapa sina la ziada but tuko pamoja sana
No comments:
Post a Comment