HII NDIYO IDEA YANGU SAMAHANI NIPE MAWAZO
Mpendwa nisaidie ili nipate kutengeneza kitu kizuri kwaajili yako
Rangi hii unaionaje,inakuwaje inafaa ama la!
Hapa vipi imekaa poa ama la!
Hapa vp Tshirt Inauza ama la!
K-pro Tshirt nayo ndani ya leber iko sokoni kama kawa ila nipe mawazo kama haziko Okey
Wowowowowoow!!!!Zikoje hizi Tshirt
Ziko zaidi ya hizi ambazo unaziona hapa,hizi niza kwanza tu.
HII NDIYO IDEA YANGU SAMAHANI NIPE MAWAZO.MUDA C MREFU ZITAKUWA MADUKANI NA SEHEMU NYINGINE KAMA HIZO.SO KABLA SIJAZITOA NYINGI ZAIDI NIMEONA NIKUSHIRIKISHE KWANZA WEWE UNIPE USHAURI JUU YA HUDUMA HII YA TSHIRT HIZI.SABABU YA KUTENGENEZA NI KUONDOKANA NA MATAIZO YA KUVAA NGUO TUSIZO JUA MAANA YAKE

Rafiki yangu bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa Umoja.
No comments:
Post a Comment