TAMASHA KUBWA KUFANYIKA NDANI YA CCC
.Asante Asante Concert na
SOLOMON MKUBWA ni tamasha la kurudisha fadhila kwa watanzania wote kwa kujenga kituo kikubwa cha kulelea watoto yatima tamasha hilo itakua kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa kituo hicho maeneo ya

BUNJU "A" DAR ES SALAAM
TAMSHA HILI ITAKUA NI JUMAPILI YA TAREHE 19/08/2012
NDANI YA UKUMBI WA CITY CHRISTIAN CENTRE;C.C.C /UPANGA DAR ES SALAAM
Kiingilio ni 10.000 V.I.P
5000 Viti maalum
3000 watoto
waimbaji wote watakao shiriki ni kama vile: CHRISTINA SHUSHO
UPENDO NKONE
BONIE MWAITEGE
UPENDO KILAHIRO
JENIPHER MGENDI
TARAJA NTAMBOBA
NUNUA TIKETI YAKO NA FAMILIA MAPEMA ILI KUEPUKA KUKAA FOLENI KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NO.
0713981393
0762804600
AMA NENDA CALVARY TABERNACLE CHUCH KINONDONI KARIBU NA MAHAKAMANI ,CCC UPANGA, WAPO RADIO ,PRAISE POWER RADIO, NA CLOUDS FM
TAMASHA HILI LIMEDHAMINIWA NA
No comments:
Post a Comment