TOGETHER PARTY!!!!!!!
"FANYA NJIA BWANA" NI NYIMBO MAARUFU SANA HAPA TANZANIA HATA KATIKA NCHI ZA JIRANI,HAKIKA BWANA AMEFANYA NJIA KWA MWIMBAJI FLORA MBASHA KATIKA HUDUMA YAKE YA UIMBAJI BAADA YA KUPATA MIALIKO NDANI NA NJE YA NCHI.

Helllooooowwwwwwwww!!! ARE U THERE!! kama vile ndivyo wasemavyo hapa.!!!

Hii ndiyo card ya kula mwaliko wa kula bata

Helllooooowwwwwwwww!!! ARE U THERE!! kama vile ndivyo wasemavyo hapa.!!!

Hii ndiyo card ya kula mwaliko wa kula bata
Mr Mbasha akiweka sawa koo lake ikiwa ni majira jioni.Boston
Flora mbasha akiweka sign na mawasiliano yake kwa wadau na marafiki ambao wametokea kumpenda katika huduma yake ya uimbaji.
Flora Mbasha na mumewwe wakiwa katika stage wakimtumikia Mungu pamoja katika moja ya matamasha waliyoyafanya.
Siku ya jumamosi Mwimbaji huyu atakuwa na hafla nyumbani kwake Taba akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa wema wake pamoja na kibali cha wao kupata nafasi ya kwenda nje ya nchi katika bara la Amerika na kusini mwa Afrika katika huduma,na kuweza kupata mafanikio makubwa sana ya kiroho na kimwili pia.Kumbe inawezekana kabisa kufanya kweli.PAMOJA KWA UMOJA inawapongeza familia yote ya Mbasha mbarikiwe na BWANA Yesu.
HONGERA FLORA KWA KUMKUMBUKA MUNGU NA KUMTOLEA SHUKURANI.
UBWABWA DAYYYY!!!!!!TYME!!
BATA !!!BATA !!!!VYUKU!!!DAY!
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
No comments:
Post a Comment