Kwa muda sasa toka niwe kimya bila kuwajulisha ila kwa uweza wa bwana tunakutana tea moja moja kupitia hapa hapa katika blog yngu hii pamojakwaumoja2012.logspot.com.
Naona sms nyingi zikiniuliza niko wapi mimi nipo! tu ila nilikuwa busy kidogo na mambo fulani,So rafiki naomba ushirikiano wako kama ilivyokuwa mwanzo kwa maana Tumekuwa tukimwona Mungu kupita blog hii na shuhuda mbalimbali zimekuwa zikiwatia moyo wengi nakuwaondoa katika mawazo ya kukata tamaa.Kupitia blog hii nitaongeza sauti za watumishi wa Mungu wengine wengi zaidi ili kukidhi haja wa wadau wote wanaotembelea blog hii

PAMOJA KWA UMOJA
No comments:
Post a Comment