DALILI YA MVUA NI MAWINGU,UNAHISI NINI NA JE MAOMBI YAKO KWA MWENYEZI MUNGU NI YAPI KWA KUTUMIA MFANO HUU ::
tAFAKAri sana maana kila jambo lina tafakari yake nini unadhani kinatokea hapa au nini maombi yako??
Kanisa lina nafasi gani katika hali kama hii?? Tafakari sana unaweza ukadharau au kupuuza kwa kuwa ni nyumba ya jirani kumbe ilikuwa ni nafasi ya wewe kutafakari na kuingia kwenye zamu yako.
UNAWEZA USINIELEWE ILA NATAMANI UNIELEWE MAANA MAMBO YA ROHONI YANAHITAJI MACHO YA ROHONI.


Mungu ibariki Tanzania na watu wake
No comments:
Post a Comment