BAHATI!!!! BAHATI!!! BAHATI!!! BUKUKU BUKUKU!! NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE YA
"DUNIA HAINA HURUMA"
Bahati Bukuku akisalimia umati mkubwa ambao haujawahi tokea katika uzinduzi mziki wa injili
Mgeni rasmi Mheshimiwa Edward Lowasa akizungumza kabla ya uzinduzi
Mgeni rasmi akipokea DVD kisha maombi
Mchungaji froliani Katunzi akiweka wakfu DVD ya dunia haina huruma
Mgeni rasmi akipokea risala toka kwa msomaji wa risala hii ambaye ni Cathy
Huu ni sehemu ya umati mkubwa uliojitokeza siku ya tamasha la uzinduzi
Hawa ni baadhi tu ya waimbaji waliojitokeza kushirikiana na muimbaji mwenzao
Umati wa wadau wa mziki wa injili
Waimbaji wenzake walishindwa kujizuia baada ya upako kuwashukia,wakaamua kwenda sawa
Dunia haina huruma ikiunguruma kama picha inavyoonyesha Bahati Bukuku akiungurumisha
Baadhi ya waimbaji wakishuhudia uzinduzi
Kwaya wenyeji wakicheza sambamba na waimbaji wengine
kama sio furaha sijui nini ila nahisi alikuwa anafurahia kilicho0kuwa kinaendelea jukwaani
Hapa tukijaribu kuangalia ratiba na Mc wa shughuli hiyo mtangazaji Silas Mbise
Ama kwa hakika uzinduzi ulikuwa wakupendeza na kila mmoja naamini alibarikiwa kwa sehemu yake japo nawapa pole sana wale walioshindwa/walikosa nafasi maana watu walikuwa wengi mno,kwa maana ya walikuwa ndani na nje kuwa sawa.
Harambee ilifanyika vizuri sana na watu kujitoa kununua albamu hiyo bila kujari madukani watainunua kwa bei gani.
Wakati ulifika kwa mgeni rasmi kuinunua albamu hiyo huku akishirikiana na marafiki alioambatananae waliokuwa nje ya tamasha kwa kiasi cha Tsh milioni 20.
Hii ni sehemu tu! ya tamasha la uzinduzi wa Albamu ya Dunia haina huruma ya
BAHATI BUKUKU

No comments:
Post a Comment