KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, March 27, 2012

TUJIKUMBUSHE KIDOGO..

HUU WEMA WA MUNGU KWA KUMUOKOA NA MAUTI MTANGAZAJI WA PRAISE POWER RADIO, ERICK BRIGHTON NA MASWABA ZAKE MWAKA 2011 WALIOKUWEMO KATIKA AJALI HIYO
RULEA SANGA (KULIA) AKIWA KATIKA ENEO LA 
AJALI NA NDIYE ALIYEKUWA MPIGAJI WA PICHA KATIKA ENEO LA AJALI
(GARI YA ERICK BRAITON WALIOKUWA NAYO NA KUPATA AJALII )


SILAS MBISE NA ERICK KTK MAUMIVU 


----------------------------------------------------------------------------------

SWALI LA LEO:
HELLOW BWANA YESU ASIFIWE? ETI TUNAPO OMBA MACHO YA ROHONI TUNAKUWA TUNAMANISHA NINI AU NINI MAPUNGUFU YA MACHO YA NYAMA TULIYONAYO??? Tusaidiane ktk hili.

MAONI KUTOKA KWA WADAU
Ellysia Kisamo
 amen, tunapoamba macho ya rohoni unaomba kuona vya rohoni zaidi, 2. unakuwa mtu ambaye anaenenda katk roho zaiid na si kimwili kwamaana cio vyote macho ya mwili inaviona.(rum8:2-14), 3.tunapo tiwa nuru macho ye2 ya rohoni tunanajua kusudi la wito alio 2itia, 4. tunaomba sawasawa na mapenzi yake kwasababu tunajua nini ambacho 2nakiombea hatuombi ilimradi bali tunaomba kwa kuongozwa na Roho wake. nk.

Emmanuel Kwayu Katka Kitabu cha Yakobo 5:17-18(Kulingana na Ahadi ya Neno la Mungu Kuungama (Maombi ya Mwenye Haki) huleta Uponyaji kwa sababu KUOMBA kwake Mwenye HAKI kuna nguvu na kwafaa.Tukumbuke Kuwa Mungu hawezi kumsikiliza mwenye moyo Mgumu na anayeishi maisha Ya DHAMBI Eliya aliomba Mvua isinyeshe na Mvua haikunyesha .................na Tunaona Eliya Aliomba Mvua Inyeshe.Katika Macho Ya Rohoni na Masikio ya Rohoni aliiona na kusikia Mvua ndipo alipowaaambia 1Falm18:41 ....Kwani kuna Sauti ya Mvua tele.........hapa tunaona baada ya ile taarifa ili kudhihirisha hilo Eliya alienda Mlimani kwenda Kuomba ili alichokiona na Kukisikia Katika ulimwengu wa Roho Mungu akitimize na Tunaona Eliya aliendelea na Maombi mara Saba na Mara ya Saba Mbingu Zikawa Nyeusi na Wingu na Upepo na Mvua ikanyesha Nyiingi(Katika Marko 8:18 Bwan yesu anauliza mna Macho hamwoni mna masikio Hamsikii wala hamkumbuki.?????? Tafakar chukua Hatua..................




RUMA AFRICA YAJA NA MTINDO MPYA WA KUMTANGAZA KRISTO KWA NJIA YA TSHIRTS


ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI