KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Sunday, July 22, 2012

KUTOKA MAGAZETINI

YASEMAVYO MAGEZETI YA TANZANIA KIMATAIFA NA KITAIFA NA MICHEZO KWA UJUMLA













KANISA LIKO WAPI!! HAYA YOTE YAMEFIKA HAPA??

KADRI SIKU ZINAVYOZIDI KUSONGA MBELE NA MIAKA IKIZIDI SONGA MBELE, NIMEKUWA NIKIJIULIZA MASWALI MENGI SANA YASIYOPATA MAJIBU LABDA,NGOJA NIENDELEE KUSUBIRI HUWENDA IPO SIKU MOJA NITAPATA KUJIBIWA NA ANAYEWEZA KUWA NA UFAHAMU ZAIDI YANGU.NINI MAANA YA YOTE HAYA

Tazama hii hapa ni binti au mtoto wa kike ambaye ameva suluali aina ya jinzi huku akiwa ameacha wazi sehemu ya kiuno chake

Hapa ni picha ikikuonyesha ni jinsi gani vijana uvaaji wao kwa ujumla huku sehemu ya makalio yakiwa nje!!!

Hii kwangu imekuwa ndiyo kali ya mwaka Mzee wa makamo akiwa amenyowa mnyoo ambao ni maarufu sana kwa vijana kama kiduku 


Ajali mbaya ya kutisha iliyogharimu maisha ya watu wengi kama inavyoonekana picha hapo juu

Mauwaji ya kivita ya kidini na ukabila


Hukumu ya mwanadamu kwa mwanadamu mwenzake
Vita ya mtu na mtu,uko na uko na taifa na taifa

Ugaidi ukiendelea kutokea kila siku kukicha

Ajali mbaya za meli zisizoisha kutokea
Nikiendelea kutazama matukio yote haya nazidi kuchanganyikiwa lipi ni lipi na nini maana ya haya yote, kuendelea kutokea na kuonekana katika uso wa hii dunia ya leo.Maswali yangu juu ya kanisa ambalo ni mimi na wewe,Kanisa  liko wapi juu ya haya yote kuendelea kutokea,inamaanisha haya yanayotokea leo ni kwasababu kanisa limelala limesahau wajibu wake kwa watu wake au ni kwa sababu watu hawajaijua kweli ya Mungu na ikawaweka huru au mwandamu kamzoea Mungu kiasi kwamba hajali tena kusikia wala kuambiwa au ndiyo uhuru wa kufikiri na kuamua kufanya au nini basi!!!! MMhh!!
Rafiki bado nakuombea mungu akubariki
Pamoj Kwa Umoja





ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI