KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, September 23, 2013

JOHN LISU NA EVENT MANAGER PROSPER MWAKITALIMA WAMEWEKE BAYANA NAMNA AMBAVYO TAMASHA LITAKAVYOKUWA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI


HAKIKA TAREHE 06/10/2013 UKUMBI WA CCC UPANGA ULIO JIRANI KABISA NA CHUO KIKUU CHA MZUMBE KUWAKA MOTO WA ALBAMU YA UKO HAPA
JOHN LISU na PROSPER MWAKITALIMA
 wakiteta jambo na waandishi wa habari
 John Lisu na mkewe
 Haris Kapiga akiuliza swali
 Furaha Masinga na Hardson Kamoga
 George Mpella,John Lisu,Silas Mbise na Furaha Masinga
George Mpella,John Lisu na Erick Brighton
 John Lisu akifurahi baada ya mahojiano na waandishi wa habari



  UKO HAPA DVD LIVE RECORDING
                                                UTANGULIZI

        John Lisu ni mmoja wa waimbaji/Waabudishaji wanaoheshimika katika Tasnia ya muziki wa Injili kutokana na mchango wake mkubwa alioutoa katika kukuza na kuendeleza muziki wa Injili nchini Tanzania na nje ya Nchi. Nyimbo nyingi alizozitunga na kuziimba zimekuwa zikitumika katika makanisa mbalimbali kama nyimbo za kusifu na kuabudu; pia waimbaji wengine waliokua wakiimba naye wameweza kukua na kufikia uwezo wa kuwa waimbaji wa kujitegemea. John Lisu pia ametia hamasa kubwa miongoni wa wanamuziki wa Injili kuanza kufanya muziki wa live. John Lisu ameweza kufanya tours za ndani ya Tanzania, Africa na Bara la Ulaya kwa ajili ya huduma.

John Lisu anategemea kufanya Project II ya Live recoding inayojulikana kama "UKO HAPA" baada ya project ya kwanza ya Jehova yu hai kufanya vizuri sana. Tamasha litafanyika ndani ya ukumbi wa City Christian Centre (CCC) Upanga tarehe 6 Octoba 2013, kuanzia saa 8. mpaka saa 2 usiku. Tamasha litasindikizwa na waimbaji nguli kama Christina Shusho, Neema Gospel Choir, Paul Clement, Pastor Safari Paul, Bomby Johnson na Timothy Kaberia toka Kenya.

WAIMBAJI:
Waimbaji wote wamethibitisha kuwepo. Christina Shusho, Neema Gospel Choir, Paul Clement, Bomby Johnson na Paul Safari.

                                               VENUE:
City Christian Centre (CCC) mkabala na chuo kikuu cha mzumbe
Si mbali saana kutoka Diamond Jubilee
USAFIRI (basi zilizobandikwa matangazo ya tamasha) utakuwepo kutoka posta mpya kwenda ukumbini kuanzia saa saba na nusu mchana kwa bei ya kawaida.

MCHANGO:
Wakubwa: 10,000
Watoto: 3,000
Viti Maalumu: 20,000 (Zawadi ya CD ya uko hapa itatolewa kwa atakaye nunua tiketi hii)
Tunawatia moyo watu kununua ticket mapema ili kuwezesha maandalizi ya tamasha hili na kufikia gharama za uendeshaji. Nunua ticket kwa mtazamo wa kuchangia huduma hii ya sifa na kuabudu na kufikisha ibada ndani ya kila familia kwa njia ya DVD.
NAFASI NI CHACHE ukumbi unauwezo wa watu elfu tano tuu, na hakutakuwa na ziada iwapo ticketi zitamalizika.

VITUO VYA TICKET:
1.   MWENGE – Tarakea duka la Kanda
2.   KINONDONI – DPC
3.   MLIMANICITY – Silverspoon Restaurant
4.   KARIAKOO – Mbogo Shop
5.   UKONGA BANANA -


T-SHIRTS
-T-shirts maalumu kwa wanaume na wanawake zinapatikana katika vituo vya kuuzia tiketi kwa bei ya elfu kumi, mpaka elfu 15(kutegmeana na aina).

PICHA NA TAARIFA
www.facebook.com/johnlisutz

MAWASILIANO:
O713 240 397 – JOHN LISU
0713 905 118 –PROSPER MWAKITALIMA – EVENT MANAGER
0713 883 797 - FREDY CHAVALA - PUBLICITY


Mungu ibariki Tanzania na watu wake



ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI