KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Sunday, September 16, 2012

SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA SEMINA

SEMINA YA NENO LA MUNGU KUTOKA KWA MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE NA DIANA MWAKASEGE.
Bonyeza play hapa chini usikie maombi ya Mwalimu Christopher Mwakasege

Mwalimu Christopher Mwakasege akilisha kondoo wa Mungu.
Mwalimu akifundisha somo la mzaliwa wa kwanza(lango).
 
Semina ya neno la Mungu toka kwa mwalimu Christopher Mwakasege.Huduma ya MANA inakutangazia kuwa kutakuwa na semina ya neno la Mungu toka kwa mwalimu Christopher Mwakasege na Diana Mwakasege katika viwanja vya jangwani kuanzia tarehe 23/09/2012 mpaka 30/09/2012.Karibu bila kukosa kila siku kuanzia saa 8:00 Mchana na kuendelea.Watu wote mnakaribishwa.
 
 
YAWEZEKANA UNAHITAJI KUONGOZWA SALA YA TOBA KAMA NI NDIYO
Bonyeza hapa play kisha fuatisha sala hii.

 
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 Pia kwa maelezo zaidi piga simu
0715 408566
 
 

FLORA NA EMMANUEL MBASHA WAONYESHA NJIA

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI FLORA MBASHA NA MUMEWE BWANA EMMANUEL MBASHA,USIKU WA JANA WAMEONYESHA KUTAMBUA USHIRIKIANO WAO MZURI NA VYOMBO VYA HABARI BAADA YA KUANDAA USIKU WA SHUKURANI NA CHAKULA CHA PAMOJA NA VYOMBO VYOTE VYA HABARI.
Flora Mbasha akikaribisha wageni waalikwa.
Flora na mumewe Emmanuel Mbasha wakiweka sawa mambo.
 
Mr Mbasha na blogger Sama Sasali wakigongesha kwa ishara ya pamoja kwa umoja.

Mtangazaji Revina wa Top Redio.

Uncle Jimmy na Christina
 
Stara Thomas na Mr Mbasha.

Mtangazaji Silas Mbise na Mpiga solo gitaa Emma solo 

Pamoja kwa Umoja

Helloowwwww na sisi tupo tumetokelezeaaaaa!!!!!!!!

Hellooow do u ccccccc!!!!!!

Stara Thomas akipata juice ya parachichi na niniiii vileee!!!
Na sisi tupo!! pia tulikuwepooooo!!!!

Mungu ni mmoja hata sisi tupo pia tulikuwepo!!!!!
Erick Brighton aliyetupia red(kitu chekundu) akiongea kati kati ni Yusuph Magupa na Uncle Jimmy wote hawa toka Praise Power Redio.
Nasi tupo pia tulikuwepo!!!!!!!!
Na mimi Masanja nipo mwanawaneeee!!!! pia nilikuwepo!!!
Na mimi Celline nipo!!!! pia nilikuwepo!!!!

Maswala ya mahanjumat!!!! kama unavyoona binti wa Mbasha akiweka sawa.

Wakati kumsifu na kumtukuza mungu ukafika na hapa ndipo people wakijiachi chini ya roho mtakatifu

Hawa ni baadhi ya waimbaji wa injili kati ya wengi walioalikwa

Wowowowowowo!!!!!!!!! waona hizo niniiiiiiiiii nini vileeeeee!!!!

Happy Birthday mdogo wetuuuuuuu!!!!!!!!
 
Wakati wa kutoa vyeti Maalum ulifika na hapa Millard Ayo akiwakilisha Clouds Fm.

Revina akiwakilisha Top redio Mororgoro

Uncle Jimmy Akiwakilisha Praise Power Redio.

Agnes Hiza akiwakilisha redio Maria
Enock Bwigane akiwakilisha Shirika la habari TBC.

Silas akiwakilisha Wapo redio

Sauda Mwilima akiwakilisha Star TV

Philipo akiwakilisha Upendo fm
 
 
Kiukweli Flora na mumewe  Emmanuel Mbasha wamefanya jambo Kubwa sana na darasa kubwa kwa waimbaji na watu wengine kutambua ushikirikiano katika jambo lolote ulifanyalo,nina lazimika kuamini kuwa inawezeka katika kila jambo ila kumbe nani aanze.PAMOJA KWA UMOJA inawapongeza familia yote ya Mbasha kwa mfano wenu wa kuigwa katika jamii na kanisa pia.Barikiwa sana.
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI