KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, August 10, 2012

IJUMAA YA MKESHA MKUBWA

MKESHA MKUBWA NDANI YA HEMA LA BWAN MLIMA WA MOTO WATU WENGI WAZIDI KUJITOKEZA KUUTAFUTA USO WAKE MUNGU 'BABA MUUMBA MBINGU NA NCHI
HAPA NDIPO MLIMA WA MOTO

Huu ulikuwa ni wakati wa ufunguzi wa mkesha

Hapa ni maombi ya kujitakasa kabla ya kuingia katika maombi ya kuvunja ngome za ibilisi shetani

Mwimbaji Dayana Mwakatundu akimsifu Mungu

Dokii akijiandaa kupiga magoti kwaajili ya maombi

Maombi yakiendelea kwa kupiga magoti

Bado maombi ya kupiga magoti yakiendelea

Mchungaji kiongozi nae akiendelea kumsihi Mungu juu ya maombi waliyokuja nayo wahitaji ndani ya mlima wa moto
Mwinjiristi Stanley Nko akiomba
Mwigizaji maaarufu Steven Jacob(JB) akiombewa yeye pamoja na mke wake katika mkesha huu

Watumishi kuwaombea wanandoa hawa Steven Jacob (JB) na mkewe
Maombi bado yakiendelea

Maombi yakiendelea kwa maombi maalumu

Mchungaji akiwatia faraja na maneno ya kuwasihi watu wasikate tamaa hata kama jaribu lina ukubwa gani
Mchungaji kiongozi maombi yakiendelea
Mzee wa kanisa mzee Malya akimsihi Mungu juu ya mahitaji yake
Maombi yakiendelea

Maombi yakiendelea

Mwinjiristi Prisca akiomba

Maombi yakiendelea

Mwinjiristi Deo Taitas akiomba maombi kwa kupokezana na mchungaji Sebastiani
Hakika mkesha ulikuwa na majibu makubwa sana kwa kila aliyejitokeza kwa maana wengi walimwona Mungu katika kiwango cha tofauti sana,kumbe bado inawezekana kwa kuomba hayo ndiyo yalikuwa maneno ya mmoja kati ya watu waliotendewa muujiza na Mungu katika mkesha huu.Karibu hata tatizo lako linawezekana kwa Mungu.
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI