KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, July 19, 2013

 KUTOKA PAMOJA KWA UMOJA TUNAKUTAMBULISHIA WAIMBAJI SAMWELI WA PILI PAMOJA NA ATOSHA KISAVA NA WENGINEO WENGI WANAO FANYA VIZURI KATIKA MZIKI WA INJILI 


Samwel wa Pili mwenye wimbo maarufu I am a father son hivyo video yake itakuwa tayari hivi karibuni  madukani, pamoja na audio yake hivyo ndugu jaribu kununua na kusikiliza uone tofauti na nyimbo nyingine na mungu atakutembelea kwa tofauti na kukupandisha hatua nyingine kihoro hata katika maisha ya kila siku na mungu atakubaliki
Atosha Kisava anakuletea wimbo mpya unaoitwa "KILA MTU ANASEMA U MWEMA" video ya wimbo huu itakuwa tayari muda simrefu hivyo jiandae kubalikiwa kupitia nyimbo hizi kutoka pamoja kwa umoja video production.

Pamoja kwa Umoja
Tunakupenda,tunakuombea

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI