KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, June 15, 2012

HATIMAYE MATATIZO YA UKOSEFU WA MAJUKWAA YA KISASA NA VYOMBO VYA MUZIKI VYA KISASA YAPATA JIBU.PIA TATIZO LA UZALISHAJI WA CD,VCD NA DVD LAPATA JIBU

Ukitaka vyombo vya kisasa vya muziki kutana na Pamoja kwa umoja inakuletea Pia wanatoa huduma ya muziki kupitia mashine ya kisasa ya Dj Mixing,Pamoja na huduma ya Durbin CD.
Tembelea Kijitonyama kwa Mtangazaji wa Praise Power Fm Erick Brighton,au piga simu no +255 715-408566.

Hii ni moja kati ya mashine ya kufanyia matamasha na sherehe za aina yoyote ya ndani.



Hii ni Pioneer Dj mashine kwaajili ya matamasha ya nje au ndani

Hapa Dj mashine aina ya pioneer akimtukuza Mungu katika tamasha kubwa la kusifu na kuabudu pamoja na uzinduzi wa vipindi vipya vya Prasie Power Redio
Hili ndilo jukwaa linalopatikana kwa Erick Brighton.Lina viwango vyote vyakubeba sherehe yoyote.Iwe Mikutano ya Serikali,Mikutano ya Injili na Matamasha.Ondoa wazo la usafiri Pamoja kwa umoja (Gospel boys) itakufikishia popote utakapotaka lifike pasipo usumbufu wowote.


Ukiacha swala la burudani linalokupasa upate jukwaa na Sound nzuri pia waweza pata huduma ya kurecord muziki kwa bei nafuu na kwa kiwango cha hali ya juu sana,zipo mashine za kisasa zakufanya "Durbin CD" kwa wewe muimbaji na hata kwa walimu wanaopenda kuwa na Masomo yao katika mfumo wa CD.
 
Mashine ya kuzalisha (durdin) audio CD,DVD,VCD,MP3.
 
Muonekano wa Mashine ikiwa kikazi zaidi.
pia waweza pata ma Mc wa sherehe ya aina yoyote kwa Lugha yoyote na kwa jinsia yoyote.karibu sana tuujenge mwili wa kristo Yesu pamoja hakika wewe ni wathamani kwetu.

Usiumize kichwa niende wapi nipate huduma bora ya kukidhi mahitaji yako ya Sherehe,Matukio n.k.Nione Erick Brighton ninapatikana Praise Power Radio,Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba;+255 715-408566
Tuzidi kuombeana na kutiana moyo katika kila jambo.Rafiki yangu mimi bado nakuombea kwa Mungu japo sikufahamu.
BARIKWA SANA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI