KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, August 21, 2012

KUNA MOTO YA SAMWEL WA PILI


MFAHAMU SAMWEL WA PILI NA NA NYIMBO YAKE
KUNA MOTO




Huyu ndiye Samwel wa Pili

Samwel wa Pili katika pozi
Samwel wa Pili akiimba baadhi ya mashairi yanayopatikana katika nyimbo yake kuna moto

Samwel wa Pili akijaribu kujibu maswali nilikuwa nikimuuliza kuhusu albamu yake ambayo bado hajaipa jina na mambo mengine.
Samweli wa Pili akijaribu kutembelea pamojakwaumoja2012.blogspot.com ili kutizama moja ya ndoto zangu ambazo naye pia zilimvutia sana na akatamani siku ifike ili ndoto hii iweze kutimia.
Samwel wa Pili ameomba sana kumuweka sana katika maombi ili huduma yake ya uimbaji ifike pale anapotaka ifike,anatamani sana kuwatoa vijana wengi kwenye muziki wa kidunia pia anasikitika wanaotoka makanisani na kukimbilia kwenye mziki huu wa kidunia,amewaomba hao waliokimbilia huko watambue yakuwa Mungu anawapenda sana tena sana wakumbuke uhai walio nao ni wakuazima so wakumbuke ipo siku Mungu atauhitaji tena kwa majira wasiyoyatarajia kabisa.Mwisho ametoa pongezi kwa waimbaji waliomtangulia kutoka katika duru hii ya uimbaji maan wao wamefanyika msukumo kwake kuweza kufanya hivi alivyofanya.Anasema yuko tayari kuhudumu popote pale yesu anakohubiriwa.
0715 408566


Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA



ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI