HAKIKA LEO NDANI YA NATION STADIUM ILIKUWA NI VUTA NIKUVUTE BAINA YA YANGA AFRICA NA MAFUNZO TOKA ZANZIBAR
Huyu ni shabiki na muuzaji wa jezi akipiga kazi huku akitabiri ushindi kwenda jangwani kama navyoonekana
Shabiki wa Dar es salaam Yanga Afrika George Mpella akionyesha ishara ya ushindi huku akiwa ameshika jezi yake.
Shabiki mwingine huyu naye alikuja na kali ya Mwaka kwa kuja na mfano wa kombe la Kagame ambalo mpaka sasa liko mikononi mwa Yanga
Hili ndiklo kombe lenyewe alilokuja nalo Shabiki wa Dar es salaam Yanga Afrika
Wachezaji wa Yanga wakifurahia goli lao la kusawazisha,goli lilofungwa na mchezaji Said Banuhuzi
Huyu ndiye mfungaji wa bao hilo Said Banuhuzi akiwa amevua jezi na kuinyanyua juu
Timu ya Mafunzo Zanzibar ikitoka baada ya Mechi kuisha na wakipiga makofi ya kuwashukuru mashabiki walikuwepo uwanjani.

Timu yaYanga nayo ikitoka nje baada ya mchezo kuisha ikiongozwa hapo na Athumani Iddy.
Pamoja sana kwa umoja hii ni Ishara toka kwa Mafunzo Zanzibar
Shabaki wa yanga baada ya Mechi
Shabiki aliyekuja na kombe akifurahia matokeo ya Yanga Afrika ya kuelekea robo fainali
Huzuni ilitanda gafla baada mchezaji wa Mafunzo Zanzibar kuanguka na kuzimia baada ya kuruka juu akiokoa mpira
Hapa ndiyo safari ya kumkimbiza hospitali mchezajio huyu aliyeanguka na kuzimia
Mpaka dakika ya mwisho matokeo ya mchezo ilikuwa ni 1-1 na ikabid penati zipigwe na matokeo yakawa ni Yanga 5-Mafunzo Zanzibar 4 baada ya mchezaji mmoja kukosa penati.Hakika mchezo ulikuwa mzuri sana japo Yanga haikuwa sawa kama ilivyocheza katika michezo ya awali,pia Mafunzo ilikuwa iko sawa kama ambavyo imeonekana katiak michezo ya awali pia ilikuwa imeukamia sana mchezo huu.Yote kwa yote Yanga imeenda robo afainali na itakutana na APR toka Rwanda.Mungu ibariki Tanzania.
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja.