KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

WEDDING OF THE WEEK (HARUSI BORA YA WIKI HII)

TAZAMA JINSI GANI HARUSI YA  HII IVYOPENDEZA KUANZIA MAHARUSI,MEDS NA WOTE KATIKA PICHA,PIA ANGALIA NAMNA GANI UNAVYOWEZA KUCHAGUA RANGI NZURI ZA KUTUMIA KATIKA HARUSI YAKO NA IKAPENDEZA.   

 Mkaka hatimaye ameutoka ukapela,sasa ni mme wa mtu. Unaona alivyotokezea katika pozi yeye na mke wake na wazazi wake wa pande zote mbili.hi!!
 Ona wakaka ua maarufu kama washenga wa kiume walivyopendeza kwa full black suit na white shirt na neck tai ya zambarau.wowowowooowowo!!!!! wametokeze ile ile au mle mle!!
 Wowowowowowo!!! Ona maharusi pamoja na meds au warembo wa kike walivyopendeza katika picha ya pamoja na brothers katika moja ya picha zilizotokezea ile ile au mle mle katika harusi hii.Dahhhh!!!! safi hiyoooo!!
 Tazama jinsi ambavyo mdada amependeza ndani ya rangi ya zambarau katika wedding party iliyotokezea ile ile,mle mle.Mmmmh!!!Dah kapendeza mdada wa watu. 
 Wowowowowo!!!! mdada huyooo katoka ile ile,mle mle katika wedding party iliyokuwa so sweety kwa rangi nzurii ya zambarau.Dahhh!! mdada kapendeza


Mwisho. 


WIKI IJAYO BABY YELLO NA PAPO 
Mmhh!! unaona jinsi gani harusi inapendeza sana kama utakuwa makini katika kuchagua rangi za za harusi yako je umeipenda hii usisite kuwasiliana nasi kwa no;; 0715 408566   
 Kila wiki tunakupa nafasi ya kuona ni harusi gani iliyopendezaili,iliyotokezea ile ile mle mle  jiji,hivyo usikose kuitembelea na kujionea matukio mbalimbali katika blog hii,pia kama nawe ungependa kutuonyesha harusi yako ilikuwaje sio mbaya ukawasiliana nasi kwa namba ya simu hapo juu.Mungu na akubariki

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI