KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

CHRISTIAN WEAR (MAVAZI YA KIKRISTO)

Huu ndiyo mwonekano wa kijana anayempenda Mungu,hawa ni vijana wa kundi Glorious Celebration 

Pozi la mdada anayempenda Yesu

 Unamwona mmama anayempenda Yesu alivyopendeza

 Mkaka anayempenda Yesu tizama pozi lake na alivyo pendeza kisawasawa 
 
Tizama mzee katika pozi la kipendwa zaidi nae anampenda Yesu,unamjua ni nani vile otea


 Mtumishi wa Mungu TB JOSHUA toka nchini Nigeria.Tizama alivyopendeza na anampenda Yesu kisawasawa
Mtumishi wa Mungu,Mkaka wa Yesu naye katika pozi la kipendwa zaidi
 Tizama jinsi ilivovyema na ya kupendeza jinsi kijana alivyopendeza akiwa na Yesu ndani yake na amependeza  kipendwa zaidi
Huu ndiyo mwonekano wa kijana wa kike anayempenda Yesu kwa kwenda mbele,tizama alivyopendeza  kipendwa zaidi Mmmh!!!anayempenda Mungu kisawasawa.Hata wewe pia waweza tumia fulsa hii kuonyesha mwonekano wako nitafute kwa no hii;; 0715 408566.Barikiwa sana

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI