KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, August 7, 2012


WACHA MUNGU AITWE MUNGU MAANA NIMEMWONA AKINITENDEA KATIKA AJALI YANGU
The Voice katika packing ya Praise power Radio

The voice wakipokewa na uncle Jimmy katika viunga vya PPR
Huyu ndiye Obedy John Mark anayemshukuru Mungu kumponya katika ajali mbaya ambayo ingechukua maisha yake,ila kwa kudra za mwenyezi Mungu akanusurika kwa kugongwa na kwenda kuangukia mtaloni.Obedy John Mark alipata ajali akiwa kwenye bajaj maeneo ya Sinza akielekea Magomeni,yeye na dereva wa Bajaj waligongwa na kutumbukia mtaloni na kuumia uti wa mgongo na mbavu na maeneo mengine katika mwili na kukimbizwa hositali,baada ya muda mfupi taarifa zilitufikia na kuzitangaza kwa jamii na watu kujitokeza kwenda kumfariji na kumpa mkono wa pole,hivyo leo amekuja Praise Power Redio kumshukuru Mungu na kuwashukuru watu wote waliojitikeza katika wakati mgumu aliokuwa anaupitia pia kuushukuru uongozi mzima wa PPR kwa uzalendo wake kwa kuwaunganisha watu kutijitokeza kumwona na kumfariji pindi alivyokuwa amelazwa hospitali.


The voice wote kwa pamoja wakiwa na Jimmy Temu


Josia Sadoki(Mzee wa bass) akitabasamu akiwa ndani ya gari.

Josia na Baraka wakiteta jambo fulani huku Josia akiandika.
Vijana wa masauti The Voice wakijadili jambo na Jimmy Temu.

Baada ya kumaliza kilichowaleta sasa wanaondoka kwenda mazoezini

Kama picha inavyoonyesha hapo wakifunga mikanda kuanza safari.
Ni jambo jema sana kumshukuru Mungu kwa kila jambo ambalo anakutendea haijalishi ni jambo gani mwambie Mungu asante kwa maana tunaishi kwa neema tu,Ndugu yangu yawezekana na wewe kuna jambo lolote unalipitia leo mwambie Mungu asante.

Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA




MAMA HUYU APONA UKIMWI LIVEEEEEE!!!!!

MIUJIZA NA MAAJABU INAENDELEA KUTOKEA KILA ITWAPO LEO.MAMA MMOJA APONA UKIMWI NA SASA AMUA KUMWIMBIA MUNGU SIFA
Mama huyu ndiye aliyepona virus na ukimwi

Tumbo hili lilikuwa limevimba lakini sasa tumbo yuko safi na amepona
Mama akiendelea sana kunipa stori jinsi alivyotendewa miujiza na Mungu.

Tazama kiganja chake ambavyo kimepona na hakina magamba pia hakuna madonda

Bado naendelea kupewa ushuhuda jinsi Mungu alivyofanya mabadiliko juu ya hali yake na sasa mama ni mwimbaji
Ndugu yangu haijalishi unapitia katika hali gani au tatizo gani kubwa la kimaisha au uchumi,bado kwa Mungu inawezekana,kupona kutajirika au kuvuka hali hiyo,hivyo nakutia moyo mtafute Mungu maadam anapatikana pia jifunze kuomba sana hasa unaposikia mikesha na mifungo itakusaidia kwa maana wote waliofanikiwa waliamua kumlilia Mungu kwa kufunga na kuomba.Jaribu leo utashinda.YEREMIA 32:27
Rafiki yangu bado ninakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI