KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, August 24, 2013

SASA KILA KITU TAYARI"DUNIA HAINA HURUMA" HIYOOOOOOO!!!!

MAANDALIZI JUU YA TAMASHA LA UZINDUZI YA ALBAMU YA DUNIA HAINA HURUMA YAKE MWIMBAJI BAHATI BUKUKU YAMEKAMILIKA KWA ASILIMIA ZOTE 100%
Bonyeza hapo kwenye alama ya kijani kusikia tangazo hili:

Mwimbaji wa injili Bahati Bukuku(MAMA wa MAADLI au SHUJAA) amekamilisha mambo yote yanayohusiana na Tamasha la uzinduzi wa dvd ya Dunia haina huruma.Mgeni rasmi wa tamasha hilo atakuwa mheshimiwa (Mb) Edward Lowassa.
Mgeni rasmi (Mb)Mh Edward Lowasa
Huu ndiyo ukumbi wa PTA maeneo ya sabasaba 



MUNGU KWANZA
Mungu ibariki Tanzania na watu wake
USIKOSE TARAHE 8/9/2013 UKUMBI WA PTA SABA SABA.

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI