KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, September 14, 2013

KUNA WAKATI HUWA NATAMANI SANA WAKATI HUU UJIRUDIE TENA



HAKIKA KILA JAMBO NA WAKATI WAKE,KUNA WATU KWANGU NATAMANI TENA SANA NIWAONE  WAKIWA KATIKA MAJIRA/ WAKATI AU MATUKIO KAMA HAYA HAYA

Kama kuna unayemfahamu hapa katika hii post naomba uandike jina lake na useme ni picha ya ngapi.
Ni ukweli nawamis sana pia nayatamani tena matukio,majira kama haya yajirudie maana tunaishi kwa neema ya bwana na yawezekana wengine hawapo tena leo,pia ni vyema kukumbukiana maana Mungu anamakusudi makubwa juu ya haya yote katika maisha yetu.
JAMANI NIMEWAMIS SANA NA BADO NATAMANI NIWAONE TENA KWENYE MAZINGIRA KAMA HAYA AU YENYE KUFANANA NA HAYA


Mungu awabariki sana nawapenda

MAHALI NI PAZURI MKIKAA KWA FURAHA NA AMANI



ILIKUWA NI JUZI WATANGAZAJI MARAFIKI TOKA REDIO TOFAUTI TULIWEZA KUKAA PAMOJA NA KUPATA LUNCH PAMOJA NA KISHA KUMTUKUZA MUNGU KWA NEEMA ALIYOTUPA YA KUWA HIVI TULIVYO LEO TUKIMTUMIKIA.




 Erick Brighton,John Kisaka na Bryan Thomas
Erick Brighton,Bryan thomas,Thomas Benard Mbura na Silas Mbise
 Emanuel Ngalapa pamoja na Boniface Magupa na kitu Bavaria
 Baadhi tu ya watangazaji kwa upande wa kushoto
 Baadhi tu ya watangazaji kwa upande wa kulia

 Peter Ogola
Ok mtu mzima alikula na akashiba!!

Kutaniko hili lilikuwa ni baraka kwa kila mmoja maana kila mmoja aliondoka akitamani kuendelea kukaa pamoja maana kutokana na kuwa busy kila mmoja kila siku kwa ajili ya kazi ya bwana na kutopata nafasi kama hii.
Kulikuwa na ucheshi na utani wa kila aina ilimradi kila mmoja aondoke akiwa na furaha kiukweli kila mmoja alijisikia furaha kumtumikia bwana katika idara anayoitumika
Kulikuwa na matukio kama kujua nafasi ya kazi kwa kila mmoja wetu pia kujua aliyeoa na aliyeolewa na idadia ya familia aliyonayo,pia kujua ni changamoto zipi anazopitia kila mmoja wetu vile vile kujua nini hobies za kila mmoja wetu.
Baada ya yote kuliwa na tukio la mwisho kwa mmoja wetu kuagiza chakula kutipia chart(MENU) aliagiza chakula bila kujua ni chakula cha aina gani kinaletwa pia uwingi wa mchuzi pia kingine ilikuwa ni udogo wa chakula hapo juu ugali mchicha.
Kwa kifupi kila mmoja aliondoka akiwe na furaha ya kukutana na mwenzake pia kutokana na matukio mbalimbali yaliyojili mahali hapo.
Mungu bariki kila mmoja katika huduma uliyoiweka ndani mwake.
       



ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI