KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, September 10, 2013

ILE AUDIO CD YA ATOSHA KISSAVA "ALBAMU YA KILA MTU ANASEMA UMWEMA" SASA IKO MADUKA KUPITIA MSAMBAZAJI MAMU

AUDIO CD YA KILA MTU ANASEMA UMWEMA YA MWIMBAJI ATOSHA KISSAVA SASA IKO MADUKANI

Atosha kissava ndani ya PAMOJA KWA UMOJA ofisini ikiitambulisha ALBAMU hii.

 Atosha Kissava katika pozi tofauti

Atosha Kissava akiteta jambo nami
 Atosaha Kissava akitabasamu baada ya kuulizwa na mmoja ya mwana familia mwenzake
Atosha akichart na mmoja wa wasamabazaji wa mziki huu wa injili
 Huu ndiyo mwonekano wa kava la CD hii kwa Mbele
Hii ndiyo CD halisi ya albamu ya kila mtu anasema umwema

ALBAMU hii ina nyimbo kumi nazo ni
1.Kila mtu anasema umwema
2.Heri wamtumainiao bwana
3.Msamaha.
4.Amenihurumia
5.Tumwinamie
6.Moyo wangu
7.Wakuabudiwa
8.Wakati
9.Waniinua
10.Yesu wangu

Wapendwa katika bwana albamu hii sio ya kukosa na kama bado hujafanikiwa kuisikia sikiliza Praise power redio 99.3fm.Kwa mawasiliano zaidi piga;
0719 926175










     Mungu ibariki Tanzania

UZINDUZI WA ALBAMU YA DUNIA HAINA HURUMA YATIA FOLA JIJINI DAR

BAHATI!!!! BAHATI!!! BAHATI!!! BUKUKU BUKUKU!! NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE YA 
"DUNIA HAINA HURUMA"
Bahati Bukuku akisalimia umati mkubwa ambao haujawahi tokea katika uzinduzi mziki wa injili
 Mgeni rasmi Mheshimiwa Edward Lowasa akizungumza kabla ya uzinduzi
 Mgeni rasmi akipokea DVD kisha maombi
 Mchungaji froliani Katunzi akiweka wakfu DVD ya dunia haina huruma
 Mgeni rasmi akipokea risala toka kwa msomaji wa risala hii ambaye ni Cathy
 Huu ni sehemu ya umati mkubwa uliojitokeza siku ya tamasha la uzinduzi
 Hawa ni baadhi tu ya waimbaji waliojitokeza kushirikiana na muimbaji mwenzao
 Umati wa wadau wa mziki wa injili
 Waimbaji wenzake walishindwa kujizuia baada ya upako kuwashukia,wakaamua kwenda sawa
 Dunia haina huruma ikiunguruma kama picha inavyoonyesha Bahati Bukuku akiungurumisha
 Baadhi ya waimbaji wakishuhudia uzinduzi
Kwaya wenyeji wakicheza sambamba na waimbaji wengine
 kama sio furaha sijui nini ila nahisi alikuwa anafurahia kilicho0kuwa kinaendelea jukwaani
Hapa tukijaribu kuangalia ratiba na Mc wa shughuli hiyo mtangazaji Silas Mbise
Ama kwa hakika uzinduzi ulikuwa wakupendeza na kila mmoja naamini alibarikiwa kwa sehemu yake japo nawapa pole sana wale walioshindwa/walikosa nafasi maana watu walikuwa wengi mno,kwa maana ya walikuwa ndani na nje kuwa sawa.
Harambee ilifanyika vizuri sana na watu kujitoa kununua albamu hiyo bila kujari madukani watainunua kwa bei gani.
Wakati ulifika kwa mgeni rasmi kuinunua albamu hiyo huku akishirikiana na marafiki alioambatananae waliokuwa nje ya tamasha kwa kiasi cha Tsh milioni 20.
Hii ni sehemu tu! ya tamasha la uzinduzi wa Albamu ya Dunia haina huruma ya
 BAHATI BUKUKU









ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI