KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, September 29, 2012

STUDIO YA KISASA NA YENYE KIWANGO HII HAPA!!

STUDIO MPYA NA YA KISASA YAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM MAENEO YA BOKO YENYE ENEO LA KUTOSHA
Bonyeza Play usikie mahojiano haya:

 
Hivi ni viti vya mapokezi
Na pia ndiyo meza ya mapokezi
Hii ni korido ya kuelekea studiop namba 1 na namba 2 na namba 3
 Huyu ndiye mkurugenzi bwana Washingtone Mtayoba akiwa na K pro aalipotembelea hapo
Mic ya kuimbia
 Tumba
Computer aina ya Mac na hapa ni chumba cha watayarishaji wa muziki
Mixxer ya kurekodia muziki
Studio kwa sura ya nyuma yenye bustani kubwa
Pia hii ni sura ya upande wa kulia
Hapa ndiko getini pa kuingilia.
Huu ndio mwelekeo wa Shiro studios zilipo na hapa ni maeneo ya njia panda ya bahari beach.
 
Mzee Washington Mtashoba anastahili pongezi za hali ya juu kwa studio hizi kwa maana amekidhi haja za wahitaji wa muziki.Wanamuziki,Maproduza ni wakati sasa umefika wa kufanya vitu vya ukweli  pia kwa kujifunza kwa walio tutangulia kimaendeleo,si vibaya tukajifunza kupitia studio hizi 4 mahali pamoja na Hostel,sehemu ya chakula,bustani nzuri kwaajili ya wanamuziki kupumzikia na pia kwaajili ya kufanyia video.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu no.0712 556043
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA.

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI