KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, August 14, 2012

SEMINA SEMINA SEMINA NA TATU KAVU NDANI YA MLIMA WA MOTO.


MCHUNGAJI KIONGOZI WA MLIMA WA MOTO ANAKUKARIBISHA KATIKA WIKI YA SIKU NANE ZA MIUJIZA NA MAAJABU YA MUNGU PIA MFUNGO WA TATU KAVU KUENDELEA.
MCHUNGAJI KIONGOZI WA MLIMA WA MOTO
 INAWEZEKANA KUVUKA HIYO HALI UNAYOPITIA NDUGU YANGU
 MCHUNGAJI AKIOMBA KATIKA MOJA YA MKESHA NDANI YA MLIMA WA MOTO

Kwa mtu ambaye angependa kushirikisha mahitaji yake basi anaweza  kushiriki kwa kuandika neno KESHA acha nafasi andika hitaji lako kisha tuma katika namba 15404

Rafiki bado nakuombea Mungu anakupenda
PAMOJA kwa UMOJA

USIKU WA FARAJA NA BONIPHACE MAGUPA NDANI YA 99.2 FM

HAKIKA MUNGU AKIITWA HUITIKA LEO KATIKA MAOMBI MAZURI YA BONIPHACE MAGUPA NIMEMWONA MUNGU AKIITIKA KWA NGUVU KUBWA KWA WASIKILIZAJI WENGI
Mtangazaji Boniphace Magupa kabla ya maombi

Hapa maombi yameanza rasmi

maombi yakiendelea

Hapa bado shetani anapata shida katika ulimwengu wa roho

Maombi yameshika kasi

Maombi yanaendelea


Kijana wa yesu akipiga kazi ya bwana na shetani kapata wakati mgumu sana ndani ya dakika 45 tu ambazo zilikuwa ngumu sana kwake.Hakika bado nakubaliana na kila mtu anayeamini kuwa Mungu akiitwa kisawa sawa anaitika live bila kujali uko katika pito la namna gani.

Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI