KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, August 21, 2013

HATIMAYE SIKU ZINAHESABIKA SASA "DUNIA HAINA HURUMA"

BAHATI BUKUKU NA DUNIA HAINA HURUMA DVD KUINGIA MTAANI(SOKONI) HIVI KARIBUNI CHINI YA KAMPUNI YAKE IJUKANAYO BUKUKU'S ENTERTAINMENT
 
Bahati Bukuku katika ujio mpya wa albamu yake ya 4 ya
 DUNIA HAINA HURUMA
 Mtumishi wa Mungu Bahati Bukuku akimba katika moja ya mwaliko katika kanisa la Mlima wa moto kwa mama Rwakatare.

DVD ya DUNIA HAINA HURUMA sasa kuingia sokoni hivi karibuni ikiwa chini ya Kampuni yake binasfi itwayo BUKUKU'S ENTERTAINMENT ambayo ofisi zake zinapatikana Kariakoo Ilala DSM

Katika hali isiyo ya kawaida sana kuona au kuisikia ameamua kufanya uzinduzi wa albamu hii bure kabisa bila kiingilio chochote katika ukumbi mmojawapo  sabasaba,ambapo atambatana na waimbaji wenzake wengi sana ikiwa ni pamoja na Rhose Mhando,Bon Mwaitege,Edson Mwasabwite na wengineo kutoka
Pamoja kwa umoja Pro.

Katika hali nyingine Bahati Bukuku ameamua kuingia katika kazi ya usambazaji wa kazi za waimbaji wenzake ili kuzirahisisha huduma zao ziende mbele zaidi na kuwafikia wahitaji kwa wakati husika.





Kwa niaba ya crew nzima ya pamoja kwa umoja tunakupongeza kwa ujasili wa kuanzisha kampuni inayohusika na usambazaji wa kazi za waimbaji wa injili


Mungu ibariki Tanzania

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI