KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, October 17, 2012

JE WAMFAHAMU NEEMA NG'ASHA MWAMBA??

KUTOKA MWANZA"ROCK CITY" MPAKA TABATA DAR ES SALAAM TANZANIA KUTANA NA DADA NEEMA NG'ASHA MWAMBA KATIKA HUDUMA YAKE YA UIMBAJI

Neema Ng'asha katika picha
Neema Ng'asha ni mwimbaji wa nyimbo za injili akitokea mkoani Mwanza miaka michache iliyopita akiwa ni mke wa Mr Nissi Mwamba,Neema ndani mwake amekuwa na mzigo wa kumtumikia Mungu sana na hapo kabla ya kutoka yeye kama yeye aliamua kuanzisha bendi ya Jerusalemu na baada ya hapo akawa amehamia jijini Dar na kuamua kuingia studio na kurekodi albamu yake aliyoipa jina la USINIPITE,ambayo ndani yake kuna nyimbo kama:
Niite nami nitakuitikia,Nikurudishie nini bwana,Usinipite,Ebeneza,Mungu yuko na wewe,Pokea utukufu bwana,Amani Afrika,Lord my God na Jina la Yesu.
Hizi ndizo nyimbo zinazopatina katika albamu hii,bila shaka ukipata nafasi Tafuta Cd hii itakubariki na kukutoa katika utukufu mmoja hadi mwingine.
 
Kwa mawasiliano zaidi na habari zaidi za Neema waweza tembelea anwani hii neemangasha.blogspot.com
 
 
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI