KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, July 20, 2012

MIUJIZA NA MAAJABU YA MUNGU JUU YA MWANADAMU

MARA NYINGI HUWA TUKISONGWA NA MATATIZO SUGU KATIKA FAMILIA SUGU HUWA TUNA KATA TAMAA.USIKATE TAMAA MAANA BADO TUNAKUOMBEA SANA KWA YOTE UNAYO YAPITIA .
Popote pale ulipo rafiki yangu napenda kukujulisha ya kwamba waweza kunishikisha mahitaji yako ya maombi yoyote unayoyapitia kwa kupitia blog hii au kutuma hitaji lako kwa kuandika neno KESHA kisha acha nafasi andika hitaji lako  kisha tuma kwenye namba 15404 moja kwa moja hitaji lako litakuwa limenifika,Pia baada ya kufanya hivyo waweza kusikiliza maombi hayo kupitia 99.2fm PRAISE POWER RADIO kwa wale walioko ukanda huu wa pwani,yani Dar es salaam,Morogoro,Tanga Zanzibar na maeneo Kilimanjaro na Arusha,pia unaweza kuomba kupitia huduma blog hii ambayo nimekuwekea baadhi ya maombi na ibaada ya watumishi wa Mungu mbalimbali Duniani
Ni maombi yangu kwa Mungu wewe ufanikiwe katika mambo yako yote uombayo kwa Mungu kila umwombapo kila siku na kila mahali unapokuwa. 
YEREMIA 32:27
Rafiki yangu bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI