KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, August 1, 2013

HATIMAYE VIDEO YA WIMBO WA AMANI TANZANIA KUTOKA HIVI KARIBUNI

VIDEO YA WIMBO WA AMANI YA TANZANIA ULIOIMBWA KWA KUTUMIA SAUTI ZA VIONGOZI MSTAAFU NA ALIYEKO MADARAKANI KUTOKA HIVI KARIBUNI:
 
Huyu ni Paul ameigiza sauti ya mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete 
 
Huyu ni Osca ameigiza sauti ya marehemu baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
 Hii ni sehemu wandisha wa habari wakichukua habaria kwa mheshimiwa ndania wimbo huu
 Paul&>>>>;KIKWETE
 Osca>>>>;NYERERE








Pamoja kwa umoja tuijenge Tanzania yetu

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI