KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, September 22, 2012

MWIMBAJI WA INJILI ELSTONE NANGAI AJA NA SIMAMA

SIMAMA SIMAMA NI MANENO YANAYO SIKIKA NDANI YA NYIMBO MPYA YA KUMWABUDU MUNGU BABA KATIKA ROHO NA KWELI
Bonyeza play hapa chini usikie mahojiano;

Huyu ndiye ELSTONE NANGAI katika pozi
Kwa maelezo ya anasema tarajia mambo mazuri katika kila albamu za atakazokuwa akitoa,tarajia kuhudumiwa kwa kiwango cha hali ya juu.
Ukisikiliza vizuri nyimbo ya hii ya Simama Simama na Yesu kwa uaminifu na unyenyekevu ukiwa umetulia hakika lazima kuna kitu toka kwa roho mtakatifu utakipata.Hebu ruhusu masikio yako yasikilize nyimbo hii ukiwa umetulia,ukiwa nyumbani ,kazini,hospitali au sehemu yoyote ile hakika  utauona mpenyo.
Bonyeza play hapa chini usikilize nyimbo hii

 Mungu akutie nguvu kwa wewe uliyevujika moyo amini kila jambo lina wakati wake na majira yake,wapo wengi waliopitia hali kama yako au zaidi ila walifanikiwa kutoka baada ya kujitambua na kumpa bwana Yesu maisha yao na wakavuka katika majaribu yao yote,pia usimwache Yesu kwasababu ya matatizo au mapito unayoyapitia amini mlango wa kutokea upo.Zaidi zaidi hongera kwa ushindi.
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI