KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, July 14, 2012

HATIMAYE GOSPEL TEAM KUTINGA MJENGONI(BUNGENI)

HATIMAYE TIMU YA GOSPEL YAPATA MWALIKO BUNGENI MJINI DODOMA

 Kipa wa Gospel Timu Silas Mbise,Raymond Jackson na Bonface Magupa
 Kipa Silas Mbise katika pozi kabla ya mechi zidi ya Dar City Sta
Gospel timu ikisalimiana na timu ya Dar city star chini ya ZIZZOU FASHION
 Salvatory Edward mchezaji wa Dar City Star akisalimiana na wachezaji wa Gospel Timu kabla ya mechi.
Gofrey goli kipa no2 wa Gospel timu akisikiliza maneno toka kwa kocha(mwalimu)

Kwa wadau wa timu hii ya Gospel wanaitambua uwezo(makali) yake kwani imekuwa ni timu ya miujiza zaidi kutokana na matokeo yake toka ianzishwe imekuwa ikifanya vizuri,mpaka kufikia hatua ya timu za hapa jijini Dar es saalam kuanza kuihofia.
Binafsi nina amini kuwa ipo siku itafanya maajabu kutokana na mwamko wa watumishi wenyewe japo changamoto hazikosekani ila tumekuwa tukizishinda kwani tunaye Mungu asiyeshidwa na jambo.Wewe ukiwa kama mdau au mpenzi wa mpira ama ni mwana maombi naomba nikushirikishe katika kuiombea timu ili iweze kufikia malengo yake ikiwa ni kuliweka pamoja kanisa la Tanzania yaani mimi na wewe.
Rafiki yangu bado nakuombea,Mungu akubariki.
Pamoja kwa umoja

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI