KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, August 20, 2012

JANE MISSO NDANI YA PAMOJA KWA UMOJA BLOG.

JANE MISSO ANASEMAJE KUHUSU ALBAMU YAKE MPYA ALIYOIPATIA JINA NAUENDEA MSALABA  

Dada Jane akiteta nasi baada ya muda mrefu sana kutoonekana
Dada akifurahia simu toka kwa mdau wa injili

Dada Jane akiniambia nisikilize Mwinamila kwa makini
Dada Jane akisikitishwa na wezi za kazi za waimbaji

Dada Jane Misso akiteta nami JAMBO.
 Jane Miso amekuja kwa wakati husika maana ni muda mrefu sana alikuwa kimya yawezekana kulikuwa na maswali mengi sana kwa wadau wa muziki huu wa injili,baada ya kuipua vibao nyake kama:UMOYO,FITINA NA MOTEMA viliweza kukonga nyoyo za wapenzi na wadau wote wa gospel kiasi kufikia nyimbo hizo kutingisha katika soko la nyimbo za injili,hata katika caller tune.na katika matamasha ama harusi.Katika albamu hii mpya nyimbo ambazo zinapatikana humo ni NAUENDEA MSALABA ambao umebeba albamu 2. MUNGU UNAISHI 3. NIMEKUKIMBILIA 4. MOTO UMEWAKA 5.NIMEONA NURU KUBWA 6.NIMEGUSWA NA MKONO WA BARAKA 7.ADAMU 8.MWINAMILA.Hizi ndizo nyimbo ambazo zinapatikana katika albamu yake mpya.
Kwa maelezo yake mwenyewe anasema amejipanga vizuri katika albamu hii kwa kutoa video yenye viwango vyote tofauti na mwanzo pia yuko kwenye maombi makali kwaajili ya huduma yake mwenyewe pamoja na tasnia nzima hii ya uimbaji.Anapenda kuwatia moyo na faraja wale wote wanaopitia wakati mgumu,wasikate tamaa katika kila jambo na magumu yote bali wamtegemee Mungu kwa kuwa yeye ndiye kimbilio lao pia wasome YEREMIA 32:27.


Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA



ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI