KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Sunday, September 9, 2012

CHEKA CHEKA TENA NA CHAVALA

                   CHEKA NA IDEAS PLATFORM TOKA KWA CHAVALA                         
Bonyeza play utasikia tangazo hili


Huyu ndiye king Chavala
Hili ndilo tangazo halisi la Ideas Platform
 
Chavala akifanya mahojiano na mtangazaji wa Praise Power Redio

Chavala akiteta jambo na Programu meneja wa Praise Power Redio.
PAMOJA KWA UMOJA
Inakutakia kila la kheri katika maandalizi ya tamasha hili pia kwa wadau msisahau kumwombea Chavala juu ya Tamasha hili lililo mbele yake,pia tamani kuwa ni mmoja kati ya watu watakao kuwa ni sehemu ya chavala kufika mahali fulani ki huduma.

Rafiki nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI