KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, August 6, 2012

Nishike Mkono - Fanuel Sedekia

                     

DAMU YA YESU INA NGUVU YA AJABU YA KUHARIBU KILA PANDO LILILOPANDWA KATIKA MAISHA YA MWANADAMU YEYOTE NI PALE TU UNAPOINYWA.


KARIBU MLIMA WA MOTO.
Eneo la packing kwa waumini wa Mlima wa Moto.
Mchungaji kiongozi Dr Getrude Pangalile Rwakatare wa Mlima wa moto Mikocheni "B" Ass of God.
Ibada imeanza rasmi

Waumini wa Mlima wa Moto wakisikiliza mafundisho ya neno la Mungu kwa makini sana.

Ibada ikizidi kuendelea na waumini wakiwa watulivu sana
Wakati ulifika wa kuombea mahitaji kama picha inavyoonyesha hapa

Mchunga kiongozi akiwa amebeba mahitaji kwaajili ya maombi
Kitendo tu cha kuanza maombi gafla binti huyu alianguka chini na wahudumu walimuwahi na kumuhudumia
Hawa nao walipatwa na nguvu ya Mungu kisha kuanguka chini
Jopo la wachungaji wa Mlima wa MOTO WAKIOMBEA MAHITAJI


Mzee wa kanisa Mzee Mathemba.
Baada ya maombi zoezi la kuinadi albamu ya Happy Kwaya ilianza na kila mtu alipenda kushiriki baraka za bwana na hapa katika picha tunamwona Mzee Mathemba ndiye aliyepewa dhamana ya kulisimamia zoezi hili









Baada ya zoezi la kuinadi albamu ya Happy kwaya kumalizika na hapa ni Obama mtoto wa mchungaji akishiriki baraka kwa kutoa Tsh 2milioni.
Mc wa zoezi hilo Victor Aron
Hili ni tukio la kutangaza uchumba na hapa wakiombewa na jopo la wachungaji.
Yote kwa yote ibada ilihitimishwa kwa kugawiwa damu ya yesu kama picha inavyoonekana

Katika kujifunza na kuona ni jinsi gani damu ya yesu ina nguvu kwa maisha ya mwanadau waweza kujifunza zaidi katika maandiko Yohana 6:57-58 pia Zaburi 105:3-37,Isaya 11:1-2 lakini kama hiyo haitoshi waweza jifunza katika 2Wafalme 4:38-40-41 na masomo mengine kama Luka 30:20-24,Ufunuo 12:11,Luka 22:19-20 na Isaya 40:23-25 na mengine mengi kama hayo.Hakika tamani sana kunywa damu ya yesu itakuponya kila kitu katika maisha yako.MUNGU AKUBARIKI
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI