KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, August 8, 2012

HAYAWI HAYAWI HATIMAYE YAMEKUWA.

HATIMAYE MTUMISHI WA MUNGU MWIMBAJI ESTHER MOLLEL KUFUNGA NDOA TAKATIFU HIVI KARIBUNI
ESTHER MOLLEL NI HUYU ALIYEIMBA WIMBO HUU"MAISHA"


Esther Mollel binti mwimbaji mwenyeji toka Arusha  mwenye nyimbo maarufu MAISHA ambayo imeendelea kupendwa kutokana na ujumbe wake ulioko ndani,siku siyo nyingi atafunga ndoa takatifu,kwa maelezo toka kwake mwenyewe amesema Send off party itafanyika Arusha kisha harusi kufungiwa jijini Dar es salaam.Katika albamu yake ambayo inafanya vizuri katika anga ya injili ina nyimbo kama:
 
MAISHA,MCHANA UMEKWISHA,NI YESU TU!,NIKO NAYE,TUWE NAUPENDO ,USINITENGE NA YESU NI CHANZO.

Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI