KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Saturday, July 21, 2012

KUTOKA KATIKA MAGAZETI YA KIKRISTU NA MENGINEYO

YASEMAVYO MAGAZETI

GAZETI JIBU

Sura ya mbele
Sura ya mbele na Nyuma

GAZETI NYAKATI

Sura ya mbele
Sura ya mbele na nyuma


GAZETI NIPASHE

Sura ya mbele
Sura ya mbele na nyuma


GAZETI MWANANCHI
Sura ya mbele
Sura ya mbele na nyuma

MAMA AKITOA USHUHUDA KWA MATENDO AMBAYO MUNGU AMEMTENDEA BAADA YA KUUMWA KWA MUDA MREFU NA SASA AMEPOKEA UPONYAJI
Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa Umoja




MATUKIO YALIYOJILI NDANI YA DAR ES SALAAM NA TANZANIA KWA UJMLA

TANZANIA TANZANIA UMEKUWA NI WIMBO WA KUKUBUKWA KWA MAOMBI YA KILA SUIKU KUTOKANA NA MATUKIO YANAYOZIDI KUTOKEA KILA SIKU NA KILA SEHEMU YA TANZANIA
KATIKA HALI ISIYOKUWA YA  KAWAIDA TANZANIA ILIINGIA KATIKA MAJONZI TENA YA AJALI YA MELI
WATU 60 wanahofiwa kufa maji na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria wanaokadiriwa kufikia 250 ikitokea Dar es Salaam kwenda Unguja, Zanzibar kuzama baharini.Hii ni ajali ya pili mbaya kutokea katika kipindi cha miezi 10 tangu ilipotokea nyingine ya Meli ya Mv Spice Islander ambayo inakadiriwa kuwa watu wapatao 200 walifariki dunia.Boti hiyo iliyoondoka jana Dar es Salaam majira ya saa 6:00 mchana na kutarajiwa kufika Bandari ya Malindi, Zanzibar saa 9:30 jioni, ilizama eneo la Pungume karibu kilomita 48 kutoka Bandari ya Zanzibar.
Inaelezwa kuwa, ilianza kuzama saa 7:30 mchana kutokana na kupigwa na mawimbi mazito ya bahari
Hii ni moja kati ya picha ya waokoaji wakijaribu kuwaokoa wahanga wa ajali(Mtalii)
Hii ndiyo meli yenyewe iliyopata ajali Mv Star Gate
BAADA YA HII KUMEKUWA NA AJALI ZA TOFAUTI TOFAUTI SANA NI PAMOJA AJALI ZA MAGALI PAMOJA NA MAJANGA YA MOTO.
Majanga ya moto nayo hayakuwa mbali sana wiki hii na mwezi huu kwa ujmla.
Ajali za barabarani nazo hazikuwa mbali kiribu kila siku katika barabara ya Morogoro,hapa bado tunaona ni jinsi gani anayatafuta maisha ya watanazania kwa nguvu zote
Matukio ya magari kugongana nayo hayakuwa nyuma hii yote ni mpango wa shetani kuliangamiza taifa.
Safari za magari makubwa(magari ya mizigo)mikoani nazo hazikuwa nyuma kama picha inavyoonekana
PIA KATIKA MATUKIO YA FURAHA NAYO HAYAKUWA MBALI KWANI KATIKA KIWANJA CHA TAMAL HOTEL NDIKO PALIKO FANYIKA PATI YA
Hii ndiyo keki iliyotumika katika kutimiza mwaka mmoja wa blog ya uncle Jimmy
Huyu ndiye uncle Jimmy akifurahi pamoja na mmoja kati waimbaji waliojitokeza na kusherehesha pati hiyo katika kiwanja cha Tamal Hotel
Mr & Mrs emmanuel Mbasha nao kama kawaida walikuwepo na kushiriki pamoja katika mwaka mmoja wa blog ya uncle Jimmy.
Mgeni rasmi katika usiku wa uncle Jimmy Pasta Deo Lubala akitoa maneno ya faraja na yenye kumtia moyo uncle Jimmy juu ya huduma ya blog
Sam Sasal(al maarufu kama Papaa) alikuwepo kama Mc
Sam Sasal na mwanadada toka Bukoba akicheza chenkula style maarufu sana hii mkoani Kagera.
Hawa nao walikuwepo ili kuinogesha sherehe hiyo.
Dada Bahati Bukuku naye alikuwepo kuisherehesha pati ya uncle Jimmy
Marafiki toka sehemu mbalimbali walikusanyika ili kufurahi pamoja na uncle Jimmy.
Kulia ni Rosemery Abbey na Mke wa Mc Luvanda ndani ya Tamal hotel wakionekana wenye furaha.
Hakika watu walijitokeza na hapa kama picha inavyoonekana  wakiwa wanabadirishana mawazo.
Hii ni familia ya Mr&Mrs Mc Luvanda kama wanavyoonekena wenye furaha katika picha.
 Kazi ilikuwepo kwa Mc huyu wa sherehe kwajinsi ambavyo alivyokuwa anafungua NYUNYU hili lisilo na kilevi chochote.
Uncle Jimmy akiteta na wahudumu ndani ya Tamal Hotel
Hali halisi ya picha kama inavyoonekana 
Mr Emmanuel Mbasha kama anavyoonekana katika picha akijimuvuzisha kuelekea alipo Mr Erick Brighton ndani ya kiwanja cha Tamal Hotel.
Si utani sherehe ilifana sana kiasi cha kutamani sherehe hii irudiwe.
Haya ni baadhi ya matukio yaliyotokea ndani ya wiki hii na kwa matukio mengine mengi zaidi usikose kesho siku ya jumatatu.
Rafiki yangu bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa Umoja



ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI