KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, October 18, 2012

KIWANJA CHA UKUBWA WA HEKALI TATU KINAUZWA

MALI NA VYOTE NI MALI YA BWANA
,NDUGU,JAMAA AU RAFIKI YAWEZEKANA UNATAFUTA / UMETAFUTA KIWANJA KWA MUDA SANA BILA KUPATA SASA JIPATIE HIVI HAPA KATIKA ENEO MOJA
Hili ni eneo/sehemu ya kiwanja hiki

sehemu ya kiwanja hiki
Eneo la kiwanja kwa upande wa chini
Hii ndiyo ramani halisi ya viwanja hivi vilivyo eneo moja
Kiwanja hiki ni heka tatu ambacho kuna viwanja vingi na vyote vimepimwa,liko kinyerezi na pana fikika kwa usafiri wowote.Eneo hili linauzwa lote kwa muhitaji,vile vile kiwanja kimoja kimoja,eneo hili linamilikiwa na mpendwa hivyo kwa yeyote atakaye hitaji anaweza kuwasiliana naye kupitia namba hii
0715 408566
au
 
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI