KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Friday, August 2, 2013

UMEISOMA HII


 Nawapongeza sana LHRC na Mkurugenzi wake Dr. Kijo Bisimba, Tanganyika Law Society(TLS) na jopo la mawakiri 20 wakiongozwa na Dk Ringo Tenga, kwa ujasiri wa wakufungua mashtaka Mahakama Kuu kesi namba 24,kumshtaki Pinda kwa kuvunja kifungu cha Katiba Ibara 13 (1). kwa kutoa kauli za kuhatarisha uhai wa raia. Hukumu ya mahakamani ni kitu kingine lakin kwa hatua hii tu..mnastahili pongezi.
Watanzania tumekuwa tukilalamika sana huku tukiwa waoga kuchukua hatua, Woga wetu umekuwa ndio kitanzi cha utumwa kwetu.,na kuwaachia wafanye vyovyote watavyo ktk rasilimali zetu, waseme lolote watakalo na hata kuchezea uhai wetu kama kamali. Hii sasa inatupa ujasiri, inatupa molari ya kutetea haki zetu zaidi, na pia inawaonya viongoz wanaojifanya Miungu watu..kwamba watz wa sasa sio wa mwaka 47!
Baada ya Pinda,... viongozi wengine wanaojiona Miungu watu kulopoka/kutenda bila kujali madhala yake kwenye jamii kama Mwigulu, Nape,Wassira,Rage,Mulongo, n.k.. nao wafuatie.

                            Chanzo cha habari toka Mtanzania Halisi(Facebook)

 
 Watanzania pamoja kwa umoja tuijenge Tanzania yetu

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI