KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, July 19, 2012

MUNGU ANAYAPENDA SANA MAISHA YAKO KULIKO UNAVYODHANI



 KUNA WAKATI TUNAPITA KATIKA WAKATI MGUMU SANA WA MAGOJWA YA AJABU YASIYOJULIKANA NA YALIYOKOSA TIBA LAKINI KWA MUNGU YAMEPATA,NDUGU YANGU TAZAMA NI JINSI GANI MUNGU NI WA MAAJABU AMENDA KWA HAWA HAPA NA LEO WANAISHI NA WANASIMULIA MATENDO MAKUU,KUMBE HATA KWAKO BADO INAWEZEKANA.
Umeona ni jinsi gani Mungu asivyoshidwa na jambo lolote katika maisha yetu.
Angalia ni jinsi gani hapa Mungu alivyothibitisha kuwa yeye ni ALFA na OMEGA
HAKIKA KWA MUNGU YOTE YANAWEZEKANA
USILIE TENA BALI MWOMBE SANA MUNGU
KWAMAANA BADO INAWEZEKANA
Rafiki yangu bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI