KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, August 22, 2012

HII NDIYO RAMANI KAMILI YA UJENZI WA KITUO CHA YATIMA


RAMANI KAMILI YA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA SOLOMON MKUBWA
Hii ndiyo ramani halisi

Solomoni alikuwa akizindua albamu yake mpya katika tamasha la Pasaka katika uwanja wa taifa

Solomoni akikonga nyoyo za wadau wa injili na nyimbo zake

Waziri wa ushirikiano wa kimataifa  Bernad Membe akitoa maneno ya faraja katika tamasha
 
 SOLOMON MKUBWA
ameamua kujenga kituo hiki kwa lengo la  kurudisha fadhila kwa watanzania wote kwa kujenga kituo kikubwa cha kulelea watoto yatima ambapo ujenzi wa kituo hicho utakuwa maeneo ya Bunju Dar es salaam.
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 
 

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI