KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, July 26, 2012

YANGA !! YANGA!! NDIYO SAUTI ILIKUWA INASIKIKA UWANJANI NA SEHE KUBWA YA JIJI.

YANGA !! YANGA!! BINGWA!!OKEEYYY!!
Mechi baina ya Azam Fc na Vital kumalizika ndipo mpambano wa Yanga Sc na Apr Fc kuuanza.
 
Timu za Azam na Vital zikitoka nje baada ya mechi kuisha kwa matokeo ya Azam 2-Vital 1.

Mchezaji wa Vital alimaliza mchezo kwa kujigonga katika nguzo ya goli kwa kuokoa shuti kali la mshambuliaji Mrisho Ngassa.

TIMU ZA YANGA SC NA APR FC ZIKIINGIA UWANJANI

Dakika 45 za mwanzo kukamilika,timu zikienda mapumziko
Mashabiki wa Yanga Africa wakifurahia goli lililofungwa na Hamis Kiiza Diego
APR FC hawaamini kilicho tokea wakiwa wameshika viuno

Score board inaoyesha matokeo ya mechi hii Yanga 1 Apr 0.
Shabiki wa Yanga mtangazaji wa praise power redio 99.2 fm George Mpella

Shabiki wa Yanga Erick Martin naye ni mtangazaji toka Praise power redio 99.2

Mashabiki wa timu ya Yanga hawaamini jinsi timu yao inavyocheza soka safi kuanzia dakika ya 67.
Mechi ikiwa imeisha na Yanga kufanikiwa kuingia Fainali kukutana na timu ya nyumbani Azam Fc
Furaha ikiwa imetanda kila eneo la uwanja na kama unavyoona huyo hapo ni kipa waYanga Berko akipongezwa na mashabiki huku wakimpa asante yao
Huyu ndiye Hamis Kiiza Diego mfungaji wa goli pekee
Niyonzima mchezaji raia wa Rwanda akipongezwa na mashabiki kwa kuwakabiri vyema timu yake ya zamani huko kao timu ya APR Fc.
Mpaka hapa sina la ziada tukutane siku ya Fainali kati ya Yanga na Azam
YANGA YANGA YANGA YANGA YANGA YANGA YANGA YANGA YANGA

Rafiki yangu bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa Umoja

WATU WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA USAHILI WA VIPAJI;

WATU WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA USAHILI WA KUWEZA KUPATA WENYE VIPAJI KATIKA KAMPUNI YA GOSPEL HOUSE OF TALENT TANZANIA.

Kama picha inavyoonekana mshiriki akionyesha namba ya ushiriki wake

Zoezi bado linaendelea na huyu nae alikuwepo


Namba 80 kama anavyoonekana hapo katika picha


Namba 115 kama anavyoonekana nae alikuwepo


87 Nae alikuwepo kubahatisha kipaji chake


Kijana huyu nae alikuwepo na namba yake ya usahili ilikuwa 110 kama ambavyo anaonekana


Hawa ni baadhi ya waliojitokeza kubahatisha nafasi za kuonyesha vipaji vyao kama ambvyo wanaonekana katika picha


Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Pamoja


ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI