KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Monday, September 3, 2012

HATIMAYE PASCHAL CASIAN AINGIA MTAANI TENA KAMA MWANZO


MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI PASCHAL CASIAN AINGIA TENA MTAANI NA MADHABAHUNI BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU.ANASEMA WASAMEHE BURE!!!!!
 
Hii ndiyo albamu ya kijana Pascha Casian ijulikanayo
"WASAMAHE BURE"

CD cover yake kwa upande wa nyuma kuna picha ya maadam Ritha ambaye ndiye aliyevumbua kipaji chake katika shindano la BSS(BONGO STAR SEACH)


Hizi ndizo nyimbo zinazopatikana katika Albamu yake hii.
Hii ndiyo kazi kamili ya albamu ya'WASAMEHE BURE"
Paschal Casian Juzi jumamosi alizindua albamu yake hii katika kiwanja cha sifa na mgeni rasmi alikuwa maadam Ritha toka Benchmark production na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini na chama na serikali,Katika hali ambayo wengi hawakuitegemea ni umati mkubwa wa watu wengi sana kuliko kawaida so hii ilikuwa ni dalili kuwa kijana na mtumishi huyu wa Mungu anakubalika sana na pia nyimbo yake ya Chuki ya nini ndiyo inaonekana kupendwa zaidi na watu wengi.Waimbaji waliokuwa katika uzinduzi huo ni pamoja na Sifa John,Tom Bernad na wengineo wengi.

Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 

JIPATIE JUKWAA LA KISASA KWA AJILI YA TAMASHA LAKO

KUTOKA PAMOJA KWA UMOJA
JIPATIE JUKWAA LA KISASA KWA AJILI YA TAMASHA LAKO KWA BEI NAFUU SANA POPOTE PALE ULIPO JIJINI
 DAR ES SALAAM
 
Jipatie jukwaa hili kwa bei nafuu sanaa

Jipatie jukwaa hili kwa bei nafuu sana



 
Jukwa hilio munaweza liweka kutokana na sehemu au kutokana na uhitaji wako popote pale hata ndani
 
Jukwaa hili linakodishwa kwa bei nafuu lenyewe peke yake au waweza kodisha pamoja na vyombo vya muziki kwa bei nafuu sana,Jukwaa hili ni jipya kabisa na pengine halijawahi kuonekana Tanzania hii ni kutokana na jinsi ambavyo lilivyo na linavyovutia sana pia waweza  kupata taa za jukwaani rangi zote(stage lights).
Mwonekano halisi wa jukwaa hili ni picha ya kwanza hapo juu na hizi nyingine ni namna ambavyo waweza lifunga kutokana na jinsi unavyohitaji

Watumishi wa Mungu na kamati za mandalizi ya matamasha msipate tabu kuwa mtapata wapi jukwaa la kisasa wasiliana nami ERICK BRIGHTON toka praise power redio.
 
Kwa mawasiliano piga simu no 0715 408566
 
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
 

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU KWA KUTUMIA BEZI GITAA(BASS GUITAR)

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU KWA KUITUMIA BEZI GITAA NA JAMES HONORE NDANI YA MWANANYAMALA KISIWANI.
 
Tujitokeze tukasifu na kuabudu pamoja pia kutiana moyo katika kazi ya bwana.Kwa mawasiliano zaidi piga simu No.0715 408566
 
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI