WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA JE?? NI KWELI UMEKUBALI KUANGAMIA KWAKUKOSA MAARIFA???.TAFAKARI...!!
Bonyeza play usikie maombi yatakuweka huru:
MARA NYINGI TUMETAMANI KUPONA,KUFANIKIWA,KUOWA AU KUOLEWA NA MAMBO MENGINE KAMA HAYO ILA TUNASAHAU NINI MITIZAMO YETU BAADA YA KUPATA UNACHOKITAKA,RAFIKI JIULIZE BAADA YA KUPONA UMEFANYA NINI MUNGU AKASHUKURU UPONAJI WAKO AU BAADA YA KUOA AU KUOLEWA UMEFANYA NINI MBELE ZA MUNGU BAADA YA MAOMBI YAKO YA NDOA,PIA UMEFANYA NINI BAADA YA KUFANIKIWA KUFAULU MTIHANI WA DARASANI AU MAISHA,BIASHARA,KAZI NA MENGINE KAMA HAYO.OMBI LANGU KWAKO TAFAKARI KABLA HAUJAOMBA ILI MUNGU AKITENDA NAWE UTENDE KILE UNATAKIWA KUTENDA.NAKUPENDA
Angalia hatua aliyoifikia binadamu kwa binadamu mwenzake.
Jiulize na kutafakari sana umefanya mambo mangapi yenye kujeruhi moyo wa mwenzako
NATAMANI KILA MMOJA WETU ANGEKUWA NA MZIGO WA KUMTUMIKIA MUNGU KUSINGEKUWA NA UGUMU WOWOTE KATIKA HILI TATIZO NINALOLIONA MIMI NI WATU KUPENDA SANA YA DUNIA KULIKO MUNGU,BINAFSI KIUKWELI NAUMIA SANA KWANINI TUNAMWACHA SHETANI ANAJENGA MSINGI KATIKA ROHO ZETU,WAKATI HUO HUO TUNAMWITAJI MUNGU KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU,NDUGU YANGU KATIKA KUMTAFUTA MUNGU KUNA KANUNI ZAKE,HUWEZI KUMWONA MUNGU KWA KUSEMA TU MDOMONI BILA MATENDO!! HILI LICHUKUE KAMA CHANGAMOTO KWAKO LITAKUSAIDIA.Tujifunze kusikia kile usichopenda kukisikia ITAKUSAIDIA.