KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Wednesday, May 9, 2012



"GET TOGETHER PARTY" YAFANA NDANI YA THE ATRIUMS HOTEL USIKU WA JANA
Usiku ulikuwa ni usiku wa furaha na kumtukuza Mungu, Erick Brighton ndiye mlengwa mkubwa katika party ya jana ambaye aliwakusanya watu kwaajili ya kuwakutanisha maproducer, waimbaji, watangazaji wa radio na TV, mabloggers na wachekeshaji, na kubwa zaidi ilikuwa ni siku ya kumchangia Erick katika harusi yake itayofanyika karibuni.

Burudani mabalimbali kutoka kwa waimbaji zilitawala zikiambatanishwa na vichekesho kutoka kwa wachekeshaji kama Masanja Mkandamizaji na Nyerere.

Kamati inawashukuru watu wote waliohudhuria mahali pale na Mungu awabariki, na msingi zaidi ni kuwasisitiza kwa wale walioahidi michango yao waiwakilishe kwa wahusika kabla ya jambo lenyewe la harusi
Kike inapukutika
Mtangazaji wa Praise Power Erick Brighton katikati akijiandaa kuwalisha kike wapenzi wake

 Kitu kike
Kamati ya maandalizi
 Rosemary mwenye hand bag akitokelezea
 Haya sasa ------ Mtangazaji wa Channel Ten, Boniface Magupa akiwa na mtarajiwa wake Jessica Honore
 Emmanuel Mabisa akiwa amewekwa kati na kundi la Double E
 Uimbaji ukiendelea
 Mtangaji wa Praise Power George Mpella (kushoto) akiwa na Mkurugezi wa kampuni ya Dolphin, Mr Kwayu
 Mchekeshaji, Msanja Mkandamizaji (kushoto kwa hao waliosimama) akikandamiza na mdau wa blogu hii.
 Fadhili wa Fadhaget Santarium Clinic (kushoto) akiwa katika pozi na Mkandamizaji Masanja
 Mzee wa Blogu, Rulea Sanga (kulia) nikijipendekeza kwa mtalaamu wa magonjwa sugu Fadhili wa Fadhaget Santarium Clinic
 Kamati ikicheki mpunga kama uko sawa baada ya party kuisha
Blogger weeeeeeeeeee..uza sura
 Mwimbaji wa nyimbo za injili na kijana anayesomea mambo ya IT, Anania siku ya party alijikita sana katika kitengo cha mitambo
 Furuuuuuu rahaaaa 
 Mc wa siku hiyo Makondeko akitupia jicho katika kamera
 Silas Mbise akikandamizwa kike na dada Benzon
 Mchungaji akiwa katika vazi la jeshi 
 Utajuaje kama tulipata kike..kula rafiki yangu
Mchekeshaji Masanja Mkandamizaji akikandamizwa makekizzzzzz

PICHA BADO ZINAKUJA, ENDELEA KUITEMBELEA BLOG HII

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI