KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, July 12, 2012

HAWA NDIO WALIOPITA USAHILI WA KWANZA WA EBENEZA TV-WAFIKE SIKU YA J/TANO {Tarehe 18/7/2012} SAA 3 :00 ASUBUHI PRAISE POWER FM.

Siku ya Tarehe 7/7/2012 katika viwanja vya Kenton kulikuwa na Usahili wa Watangazaji,Graphics,Editors,Camer Men,na Producers wa EBENEZA TELEVISION.Usahili huo ulikuwa na watu 600 walio hudhuria Usahili huo uliokuwa unalenga kipaji cha mtu.
Kupitia Majaji waliofanya kazi kubwa iliyochukua masaa 12 mpaka kuwamaliza watu wote.Napenda kuchukua muda huu kutaja majina ya waliopita katika kinyang'anyiro hicho.
PRESENTERS./WATANGAZAJI
1}Elizabethe Dominique
2}Exaud Mtei

3}Merinda Charles

4}Rose Ngonyani

5}Goodluck Francis

6}Victor Meena

7}Stephen Mapunda

8}Peter William

9}Isaiah Msangi

10}Waziri Yakub

11}Margareth Komba

12}Godwin Mawanja

13}Peter Abdallah

14}Imani Lisu

15}Innocent Lyimo

16}Deborah Nyakisinga

17}Annette Nyoni

18}Elizabeth Kafunzi

19}Esther John

20}Mary Nyakunga

21}Emmanuel Mathius

22}Ibrahim Kuhoga

23}Michael Mathius

24}Mary Singu

25}Ashura Rashid

26}David Siyinza

27}Neema Kamigisha

28}Carlos Ngonyani

29}Grace Isaac

30}Asnath Mkiramwani
GRAPHICS/EDITORS/CAMERA MEN.
1}Taragwa Anthony

2}Mafuru Mayuki

3}Haika Msuya

4}Elinisaidie Kessy

5}Anaodria Kagirwa

6}Bakari Kabaka

7}Anthony Msihili

8}Emanoel Samson

9}Francis Kavishe

10}Jerda Emmanuel

11}Thadei Ngowi

12}Yorum Bulegeye

13}Moses Mwakibolwa

14}Haji Hamza

15}Irene Msengwa

PRODUCERS.
1}Mohamed Mvumbangu

2}Esther Sellah

3}Michael Mathius

4}Stanslaus Thobias
5}Arthur Kilakwe
Kama jina lako liko hapo katika majina uyaonayo fika Ofisi za Praise Power Fm zilizoko Mikocheni B Kanisani kwa Mama Rwakatare siku ya J/Tano ya Tarehe 18/7/2012 Saa Tatu kamili asubuhi
Rafiki yangu bado nakuombea Mungu akubariki
Pamoja kwa umoja.

Uncle Jimmy: IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION

Uncle Jimmy: IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION: K-Pro ni Studio yenye obora wenye kiwango cha juu,yenye uwezo wakufanya kazi zako zozote utakazo.Producer wa K-Pro ni swahiba Paschal Kinu..

IFAHAMU K-PRO or KINUKA PRODUCTION

K-Pro ni Studio yenye obora wenye kiwango cha juu,yenye uwezo wakufanya kazi zako zozote utakazo.Producer wa K-Pro ni swahiba Paschal Kinuka ambae ni mtaalamu wa mziki na mwalimu wa Vocal.
Paschal ni Producer wa nyimbo za injili na za kawaida,nimzoefu wa muziki pia ni mwalimu wa vyombo,Gita na Kinanda.K-Pro studio inashugulika na kurecord muziki live,Kufundisha mziki,pia kutoa ushauri kwa muimbaji.
Paschal akiwa na Masoud Kipanya K-Pro
Ukiacha huduma zote zinazo patikana K-Pro sasa wanakodisha vyombo vya muziki vinavyo weza kukidhi mahitaji yako katika Sherehe mbalimbali kama Harusi,Komunio,Kipaimara n.k
Producer wa Studio hii {Paschal} kwa muda wa miaka 5 alikuwa nchini Korea ambapo alikuwa akijifunza kazi ya mziki kwa ustadi mkubwa akiwa na Mwalinu wake Seoul ambae anamshukuru Mungu kwa tahaluma aliyo mpatia.Studio ya K-Pro inapatikana Sinza Mapambano karibu na Hotel ya Double View.
Upendo Nkone akiingiza Sauti K-Pro
Studio hii iko mbioni kutengeneza Album za waimbaji tofauti kusaidia waimbaji wadogo[Yaani waimbaji chipukizi/Wageni katika huduma hii ya uimbaji] wenye kipaji kusikika na kutambulika duniani.Mpango huu unasimamiwa na Paschal pamoja na Mtangazaji wa Ppr Erick Brighton.

Vocal Training/chumba cha sauti
Paschal akiwa na rafiki yake nchini Korea.
K-pro akiwa Korea na Watoto.
Production room/Chumba cha utayarishaji
Kwa mawasiliano zaidi na ushauri piga simu namba 0716-445133 au 0752-806036


No comments:




Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI