KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, April 29, 2014

MUNGU KWANZA RED CARPET KUFANYIKA KESHO NDANI YA URAFIKI HALL


counter
HATIMAYE RED CARPET IMEKARIBIA NI MASAA TU YAMEBAKI !!!
Kundi la Mungu Kwanza kesho linatarajia kujitambulisha rasmi kwa wadau wa mziki wa injili Tanzania katika ukumbi wa Urafiki Social Hall uliopo Legho-Sinza
Tamasha hili linatarajiwa kuanza mida ya 5:00asubuhi na kuendelea 
Waimbaji wengi kuhudhuria tamasha hili ikiwa m ni pamoja na waimbaji chipukizi kutoka lebal{kampuni} ya pamoja kwa umoja waimbaji hao ni:
Emmanuel Peter
Joshua Steven
Joshua Silomba
Leah Amos
Daniel Mwaipungu
 na wengine wengi.
Jitahidi usikose JOSHUA SILOMBA
 DANIEL MWAIPUNGU
 LEAH AMOS
EMMANUEL PETER(SMART BOY)
PAMOJA KWA UMOJA DAIMA!!
counters

Friday, November 8, 2013

HEKA HEKA ZA SHUKURANI KATIKA ENEO LA MAHUSIANO

KUTOKA PRAISE POWER REDIO CHINI YA MCHUNGAJI KIONGOZI MHE GETRUDE RWAKATARE WANAKUKARIBISHA KATIKA IBAADA YA SHUKURANI JUMAPILI HII KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO.

 
Kiongozi wa Praise Power Radio mtumishi wa Mungu
 BALBO MAHUNJA
 JOYCE CHARLES akizungumza kupitia masafa ya 99.3 fm.
 Watangazaji kwa pamoja wakifanya mahojiano Mahusiano katika Ndoa,Familia,Biashara,Elimu na kazina mengine kama hayo.
KARIBU BILA KUKOSA

MUNGU KWANZA

Saturday, September 28, 2013

JE UNAMKUMBUKA HUYU AU UNAIKUMBUKA HII??widget
SIKIA HUU UNABII::HIVI KITU HII  IPO KWELI AU NDIYO MAMBO YA MJINI NAMNA YA KUISHI????


Ama kweli mjini kuna mambo sikia jinsi namna ambavyo nabii huyu anavyoendesha shughuli zake


part 2
Haya tena mwenye masikio amesikia na mwenye macho ameona kazi kwako pia tafakari juu ya hili.
 Mungu tusaidie macho ya rohoni kuyabaini yasiyo mapenzi yakoAMA KWELI MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA,KWELI YALIYOTABILIWA SASA YANATIMIA MOJA BAADA YA JINGINE


widget
Miujiza baadae
SIKU ZA MWISHO ZINAZIDI KUTIMIA HEBU BOFYA HAPA UJIONEE (AIBU)TUKIO HILI  MADHABAHUNIHaya sasa usipojifunza kwa hili basi subiri la kwako halisi maana utakuwa umeathirika na miujiza makanisa badala ya kumtafuta Mungu
Jambo la kujiuliza ni nini kusudi/lengo la mchungaji huyu.

Kumbuka si kila madhabahu ya kwenda. 

Ndugu yangu mkristo kumbuka misingi na kanuni ya ukisto itakusaidia pia epuka sana kwenda kanisani kimazoea maana yawezekana na wewe umejikuta unatumika bila kujua na hili ni moja katika maelfu,Hii ndiyo style inayotumika kwa wachungaji waliojiita badala ya Mungu kuwaita kuwa watumishi wake ili watumike kuwaleta kondoo kwake.

KUMBUKA HATA KULIONA HILI LINAHITAJI SANA MACHO YA ROHONI.
Ombi langu kwako jichunguze je mahali ulipo ni salama ama la!!!!??
 EPUKA KUUJERUHI MOYO WAKO KWA KUKOSA MUUJIZA


Mungu akupe kujitambua nyakati hizi ni za mwisho
widgets

Friday, September 27, 2013

JOHN LISU BAADA YA KUFANYIWA MAHOJIANO LEO ASUBUHI NA WATANGAZAJI WA PPAISE POWER REDIOwidget
JOHN LISU BAADA YA MAHOJIANO KATIKA KIPINDI CHA RISE &a SHINE LEO ASUBUHI
JOHN LISU
 John Lisu akiwa na mtangazaji Hadson Kamoga

John Lisu katikati,kulia ni mtangazaji Frida Ituwe kushoto ni Hadson Kamoga
Hadson akijaribu kupiga gitaa wimbo wa Jehova yuhai wa John Lisu 
 John Lisu na Hadson Kamoga katika picha ya kwaheri baada ya mahojiano juu ya Tamasha kubwa la recordin live itakayofanyika katika ukumbi wa CCC Upanda jirani kabisa na chuo cha Mzumbe.
Mahojiano haya yamefanyika kupitia redio ya kikristo Praise Power inayopatikana katika masafa ya 99.3fm jijini Dar es salaam.
TAMASHA HILI SI LA KUKOSA KABISA MAANA MUNGU ATAONEKANA LIVE BILA CHENGA

 
Mungu wabariki watu wote katika jina la Yesu


Thursday, September 26, 2013

HILI NDILO KUNDI KAMILI LINALOKUPA HABARI TOKA PRAISE POWER REDIO


WATALAAM WA HABARI TOKA PRAISE POWER REDIO 99.3FM Dsm
 
 MKUU WA KITENGO CHA HABARI EMMANUEL NGALAPA
 KIKAZI ZAIDI
 OREST SABUGO NA AGNES MHAGAMA
 CHARLES MSAMATI NA LUCY MBANGWA
PAUL MAGOHE
 AGNES MHAGAMA
 LUCY MBANGWA
Kwa habari na matukio usikose kusikiliza praise poer redio kila siku za wiki kupita mawimbi ya 99.3fm
 
 ON AIR
 HEWANI KUPITIA MAWIMBI YA 99.3 FMABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI