KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, July 24, 2012

WAKATI UMEFIKA WA KUONYESHA KIPAJI CHAKO ULICHONACHO;

NDUGU WAKATI UMEFIKA WA KUONYESHA KIPAJI ULICHONACHO;;UIMBAJI,UCHEKESHAJI,UBUNIFU,UCHORAJI NA UCHEZAJI:
Mtangazaji wa Clouds Fm na Mchungaji Harris Kapiga kupitia kampuni yake ya GOSPEL HOUSE OF TALENT TANZANIA anakutangazia wewe mwenye kipaji chochote ulichonacho cha UIMBAJI,UCHEKESHAJI,UIGIZAJI,UCHORAJI na Vipaji vingine kama hivyo,yawezekana ulikuwa unatafuta wapi pa kwenda kuonyesha kipaji chako na haukupata sasa wakati ni huu wa wewe kuonyesha unachokipenda na unachokiweza.
Namna ambavyo unaweza kufika katika huduma hii Njoo Sinza Kamanyola karibu na shule ya msingi Mugabe.


Mtangazaji na Mchungaji Harris Kapiga(HK1)
Kwa mawasilianao zaidi waweza piga simu No 0712 703 986.Muda wa kufika ni kesho tarehe 25/07/2012 saa 9:00 Mchana bila kukosa wewe mwenye kipaji.





Jitokeze uvumbue kipaji chako na upate nafasi ya kufikia malengo hata hawa walisikia msukumo wa kuvumbua vipawa au kipawa chako
Rafiki bado ninakuombea Mungu akubariki
Pamoja Kwa Umoja

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI