PAMOJA KWA UMOJA INAUZA MASHINE YA KISASA YA MUZIKI AINA YA PIONEER CDJ-800MK2 KWA BEI NAFUU SANA WAHI SASA!!
Kwa msikilizaji wa Gospel Annointin' bila shaka atakuwa anaelewa uwezo wa mashine hii.
Hii ni Deck kipande
Hii ni mixxer yake
Hii ndiyo mashine yenyewe,hapa ikiwa kwenye rack yake.Ina uwezo wa kutumia Audio Cd na MP3.
Kwa mawasiliano zaidi nipigie katika namba hii
0715 408566 au unaweza kuhamia katika Email erick.brighton45@gmail.com
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA
No comments:
Post a Comment