KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Tuesday, August 14, 2012

USIKU WA FARAJA NA BONIPHACE MAGUPA NDANI YA 99.2 FM

HAKIKA MUNGU AKIITWA HUITIKA LEO KATIKA MAOMBI MAZURI YA BONIPHACE MAGUPA NIMEMWONA MUNGU AKIITIKA KWA NGUVU KUBWA KWA WASIKILIZAJI WENGI
Mtangazaji Boniphace Magupa kabla ya maombi

Hapa maombi yameanza rasmi

maombi yakiendelea

Hapa bado shetani anapata shida katika ulimwengu wa roho

Maombi yameshika kasi

Maombi yanaendelea


Kijana wa yesu akipiga kazi ya bwana na shetani kapata wakati mgumu sana ndani ya dakika 45 tu ambazo zilikuwa ngumu sana kwake.Hakika bado nakubaliana na kila mtu anayeamini kuwa Mungu akiitwa kisawa sawa anaitika live bila kujali uko katika pito la namna gani.

Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI