KARIBU

KARIBU UPATE HABARI MBALIMBALI KUPITIA BLOG HII;;pamojakwaumoja2012.blogspot.com.
AU PIGA simu 0715408566 kwa Ushauri na maoni

KAULI MBIU/SLGN


HOPES

Thursday, September 20, 2012

KWA NEEMA YA MUNGU IBADA SASA KUWA LIVE

KUANZIA SASA WAKATI WOWOTE PAMOJA KWA UMOJA KURUSHA IBADA LIVE BILA GHARAMA YOYOTE KUPITIA BLOG HII pamojakwaumoja2012.blogspot.com WACHUNGAJI POPOTE PALE MLIPO KWA UWEZA WA BWANA TUTAWAFIKIA ILI KULITUKUZA JINA LA BWANA.
kupitia Link:Hivi ndiyo itakavyokuwa kupitia computer au Simu yako
Itakuwa ni kumtukuza Mungu tu!!!!



 
 


 Mungu akubariki sana wewe utakayepata neema hii ya Link maana itakujenga,na kukuimarisha kiroho katika kamtafuta Mungu.Mtu wa Mungu popote utakapokuwa kwa uweza wa bwana twaweza kukufikia na Ibada yako kuwa live mwanzo hadi mwisho,Pia kwa wale wote mtakafanikiwa kuipata Link hii usisite kuwasiliana kupitia email yangu hii erick.brighton45@gmail.com
Pia kila siku ya Jumapili utakuwa ukipata maombi tuka kwa watumishi mbalimbali kupitia blog hii.
Bonyeza play hapa chini kama unahitaji sala ya toba
Kwa sala hii utakuwa umesamehewa kuanzia sasa wewe ni kiumbe kipya kabisa.
Rafiki bado nakuombea Mungu akubariki
PAMOJA kwa UMOJA

No comments:

Post a Comment

ABEDDY NGOSSO/SARA K

FANUEL SEDEKIA NA UPENDO WA YESU-MUNGU AKUBARIKI